$ 0 0 Wananchi wa Kisiwa cha Kojani Shehia ya Kojani Pemba wakijumuika na Vijana wa Kikundi cha Kuhifadhi ya Mazingira cha( KOYMOCC) katika ukanda wa bahari yao. Wakifanya usafi kama wanavyoonekana picha wakiwa katika kazi hiyo jana.