Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA...

 Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika...

View Article


DK.Shein Tunayo Dhamira ya Kweli Kuendeleza Ushirikiano Wetu na Serekali ya...

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                                                          21 Februari, 2014TAARIFA KWA VYOMBO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini Leo Tz Bongo

View Article

Nasiha ya Ijumaa

 Nasiha Ya Ijumaa Maamkizi Ya Kiislam 'Assalaamu 'Alaykum'– Amri Na Fadhila Zake - 33 - Maamkizi Ya PeponiFadhila za maamkizi ya Kiislamu ni kubwa mno na ndiyo yatakayokuwa maamkizi ya Peponi.  Tuanze...

View Article

DC Wete awataka madereva kusaidia kupunguza ajali

Na Masanja Mabula, PembaMKUU wilaya ya Wete,  Omar Khamis Othman, ameitaka jumuiya ya madereva mkoa wa kaskazini Pemba kuwaelimisha madereva wa gari za abiria na mizigo   na wale wa vyombo vya maringi...

View Article


Usiri wa mabenki wachangia utoroshaji fedha nje

Na Amina Omari, Tanga.TABIA ya benki kuficha siri za wateja, zinachangia utoroshaji wa mabilioni ya fedha kutoka bara la Afrika  na kuwaacha Waafrika wakibaki masikini.Ili kukabiliana na tatizo hilo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Uvuvi Mifugo akabidhi Jenereta.

NAIBU waziri wa Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mohamed Said Mohamed, akimakabidhi pampu ya kusukumia maji kwenye mabwawa ya samaki, Katibu wa kikundi cha ushirika cha ufugaji wa samaki cha Mtangani wilaya...

View Article

Kilele cha Miaka 10 ya ‘LADY IN RED’ Kufanyika Nyumbani Lounge ..Kutolewa...

Na Andrew ChaleKILELE cha Miaka 10  na ‘After Party’ ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’  kinatarajia kfikia tamati usiku wa Jumamosi, Februari 22, ndani ya Ukumbi ulio na mgahawa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumuiya ya KOYMOCC yafanya Usafi wa Mazingira.

Wananchi wa Kisiwa cha Kojani Shehia ya Kojani Pemba wakijumuika na Vijana wa Kikundi cha Kuhifadhi ya Mazingira cha( KOYMOCC) katika ukanda wa bahari yao. Wakifanya usafi kama wanavyoonekana picha...

View Article


Wadau wa TEKNOHAMA wakutana

Na Fatuma Kitima, DSMWADAU wa teknolojia ya habari na mawasiliano nchini (TEKNOHAMA), walikutana jana jijini Dar es Salaam  kubadilishana mawazo kuhusu maendeleo juu ya matumizi na ukuaji wa teknohama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe wa Kampuni ya Mahindra &Mahindra Wakutana na Dkt Shein Ikulu Leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Sanjay Jadhar, Kiongozi wa Ujumbe wa Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd,kutoka India  walipofika Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Opportunity Education Foundation Yakabidhi Ipad

Kiongozi wa Mradi wa Opportunity Education Foundation kutoka Marekani,Bwana Joe Ricketts akimkabidhi Ipad Mwanafunzi waKidatu cha Pili wa Skuli ya Sekondari ya Fedel Castro, ikiwa imeshasetiwa program...

View Article

DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MATREKTA YA MAHINDRA

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                                                                21 Februari, 2014TAARIFA KWA...

View Article


Mwanamke atapeliwa 5.4m/- hotelini

Na Kija Elias, MOSHIMWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Rashushi Shembusho, mkazi wa Pasu Matindigani, manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa shilingi milioni 5.4, katika hoteli ya...

View Article

Mbuzini watakiwa kuwa kitu kimoja

Na Abdi Suleiman, PEMBAWANAKAMATI ya Maendeleo shehia ya Mbuzini, jimbo la Ziwani wilaya ya Chake Chake Pemba, wametakiwa kushrikiana na wadau wote wa maendeleo pamoja na viongozi wa majimbo, ili...

View Article


Matokeo ya Mtihani wa kidato cha Nne

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083.Jumla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Shamhuna alipofanya ziara ya kikazi nchini Oman

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna mara alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscat kuanza Ziara ya kikazi nchini Oman, kushoto ni Waziri wa...

View Article


Jee Hawa ni Watu Wasiotakiwa Kwao?

Diaspora ya Wazanzibari na Watanzania.Katiba mpya itaonyesha! Na Omar Ali. Mwenyekiti wa ZADIA. Jamhuri ya Muungano wa zilizokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika zilizoungana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto...

View Article

Ripoti ya madawa ya kulevya France24 TV

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>