Mandhari ya Ufukwe wa ATC ukionekana na kupambwa na majengo ya Mji Mkongwe wa Zenj majumba ya Historia kutokana na ujenzi wake wa kutumia mawe na unene wa viambaza vyake,ni moja ya vivutio vyake kwa wageni wanaofika katika majengo hayo.
Ufukwe wa bahari eneo la Forodha Mchanga Zenj likiwa na majengo ya hoteli katika ufukwe huo. tafauti na nzi zetu wakati tukufika eneo hilo kwa kuogelea na kuangalia resi za ngalawa kutoka sehemu mbalimbali za Zanzibar.
Bandari ya Kisasa ya Malindi hutoa huduma kwa Meli za ukubwa tafauti hufunga gati kwa ajili ya kupakia na kushusha mizigo katika bandari hiyo
Muonekano wa bandari ya boti za abiria
Mandari ya majengo ya Mji Mkongwe katika picha forodhani.