CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA...
Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya MwengeHapa ni chemba Hiyo ambayo ipo wazi na pembeni ya barabara ya mwenge kukunja kuelekea mama ngomaMawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite hapo baada ya...
View ArticleMgombea Ubunge Chalize Aendelea na Kampeni yake katika Jimbo hilo.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina CCM la vijana wa boda boda katika kijiji cha Pongwe Kiona,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo...
View ArticleUtafiti: Wanawake wengu wanafanya mapenzi kinyume cha maumbile
Na Khamis Malik, WUUVWWIMEELEZWA asilimia 25 ya wanawake wanafanya mapenzi kinyume cha maumbile ama na waume zao au na wanaume wengine kama njia ya kukimbia kupata ujauzito na mambo mengine.Takwimu...
View ArticleKingunge amchana Warioba
Na Mwandishi wetuMWANASIASA mkongwe, Kingunge Ngombalemwiru, ameendeleza shutuma kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, akisema Tume yake haikufanya utafiti wa kina wakati...
View ArticleKamati Bunge la Katiba hadharani leo
Na Mwantanga AmeWAJUMBE wa Kamati 12 za bunge maalum za katiba wanatarajiwa kutangazwa leo.Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta, anatarajiwa kutangaza kamati hizo ikiwa ni sehemu ya kazi...
View ArticleMadiwani CCM watishia kurejesha kadi
Na Joseph Ngilisho, ARUMERUKATIKA hali isiyo ya kawaida Madiwani wa CCM katika halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani wa Arusha wametishia kujiuzulu pamoja na kukusanya kadi zote za chama kutoka kwa...
View ArticleRidhiwani Kikwete Aendelea na Kampeni yake Kijiji cha Ubena.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya kulizindua Shina la Wakereketwa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) la Wajasiliamali wa...
View Article‘Watoto mfanano si laana, wasitengwe’ walindwe!!
Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale (kushoto) akimtambulisha Mwenyekiti wa Chama cha watu wanaojitolea (Trabajo Voluntario), Marisa Yussuf Himid kwa Mhariri wa Michezo wa gazeti la...
View ArticleWashirika wa maendeleo wana fursa ya kushirikiana na Serikali
Waziri Mkuu wa SMT Mh. Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Kampuni ya Kemisy Group Bwana Kennedy Shine ndani yao kwenye Jengo la Msekwa Mjini Dodoma Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...
View ArticleWIZARA YA BIASHARA ZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA SMT
Mkurugenzi Sera na Mipango wa Wizara ya Biashara ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Sungula kulia akimkabidhi Funguo ya Gari Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Zanzibar Julian Raphael,kushoto...
View ArticleMaalim Seif Atembelea Soko la la matunda Mombasa.
Mkurugenzi wa Mapinspaa Zanzibar Abeid Juma, akisisitiza jambo wakati wa ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kwenye jaa la soko la matunda Mombasa.Makamu wa...
View ArticleManispaa washauriwa kuwa na utaratibu unaofaa kuondoa taka
Na Hassan Hamad OMKRBaraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua. Wito huo umetolewa na Makamu wa...
View ArticlePolisi wampiga risasi mwanajeshi JKT
Na Joseph Ngilisho,ARUSHAPOLISI mkoani hapa wamemuua kwa kumpiga risasi askari wa jeshi la kujenga taifa (JKT) kikosi cha Oljoro na kumjeruhi mwingine katika mapambano yaliyotokea eneo la kwa...
View ArticleJK azindua barabara Tanga
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete, amewataka wakazi wa Handeni na maeneo inakopita barabara ya Mkata–Handeni na Korogwe–Handeni, kutumia ipasavyo fursa ya...
View ArticleNCCR-Mageuzi yampinga JK
Na Pascal Buyaga, MUSOMACHAMA cha NCCR Mageuzi kimesema hakikubaliani na hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, aliyoitoa Dodoma wakati akizundua bunge maalum la katiba, kikisema hotuba hiyo imeligawa...
View ArticleMandhari ya Ufukwe wa Mji Mkongwe Zenj
Mandhari ya Ufukwe wa ATC ukionekana na kupambwa na majengo ya Mji Mkongwe wa Zenj majumba ya Historia kutokana na ujenzi wake wa kutumia mawe na unene wa viambaza vyake,ni moja ya vivutio vyake kwa...
View Article