Jela miaka 15 kwa Bakuka
Na Husna ShehaMAHAKAMA ya mkoa ya Mfenesini,imemuhukumu mshitakiwa Sharif Makame Haji (19) mkaazi wa Mkokotoni wilaya ya kaskazini 'A', kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia katika...
View ArticleVurugu Moshi · Madereva wa mabasi wagoma
Na Kija Elias, MOSHIABIRIA wanaosafiri katika wilaya sita za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, wamekwama kusafiri kwa saa 10, baada ya wamiliki wa mabasi na madereva kugoma kutoa huduma,wakililalamikia...
View ArticleDk Shein kutunuku Nishani
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, atakabidhi nishani ya Mapinduzi kwa watu na makundi mbalimbali...
View ArticleUVCCM Mfenesini waipongeza hotuba ya Rais Kikwete
Na Ali Issa na Miza Othman Maelezo.Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Mfenesini Mjini Unguja wameamua kuiunga mkono kwa makusudi hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho...
View ArticleNi Zanzibar au ni Unguja?
Ninapata taabu kuamini kwamba waandishi wengi na wanataaluma ya habari wanashindwa kutumia matumizi sahihi ya visiwa vya Unguja, Pemba na Zanzibar. Utaona wakati mwengine mwandishi anatumia jina la...
View ArticleUingereza yaja na utaratibu mpya mfumo wa viza
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania umesema unakusudia kufanya mabadiliko ya utaratibu wa maombi na utoaji viza kwa Watanzania wanaotaka kwenda nchini Uingereza kwa kufungua ofisi zitakazokuwa zinatoa...
View ArticleWanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Ubungo Modern ya Dar es salaam...
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kutoka Makao Makuu Dar es Salaam Stella Vuzo akitoa ujumbe wa siku ya Kimataifa ya kumbukumbu ya wahanga wa Utumwa na Biashara ya Utumwa...
View ArticleMafunzo ya siku tatu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru
Mratibu wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru (NTBs) Aboud Hassan Serenge akitoa maelezo kuhusu mafunzo ya siku tatu kwa washiriki wa mafunzo hayo yanayofanyika Hoteli ya Grand...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Grand Malt Jamuhuri na KMKM, imeshinda 2--0
Mshambuliaji wa timu ya KMKM akipiga tiktak galini kwa timu ya Jamuhuri wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Kmkm imeshinda 2--0....
View ArticleMaalim Seif ahutubia wanaCUF Kibanda Maiti leo
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar,Mjumbe wa kamati ya maridhiano, Mansoor Yussuf Himid (kushoto), akiwa na...
View ArticleBunge la Katiba lavurugika
TAARIFA ya kuwepo kwa marekebisho mapya ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, zimesababisha vurugu, kurushiana matamshi yasiyo ya staha na kuzomeana bungeni, huku Mwenyekiti wa Bunge Maalum,...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN...
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA...
View ArticleMaalim Seif atembelea na kukagua miradi mitatu Uwanja wa Ndege
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia ramani ya ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa Zanzibar, alipofanya ziara ya kutembelea miradi hiyo.Mtathmini wa...
View ArticleLigi ya Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Kilimani Stars na Small Rangers.
Wachezaji wa timu ya Kilimani Stars wakipigwa na mshangao baada timu yao kufungwa na timu ya Small Rangers katika mchezo wa Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya...
View ArticleBalozi Seif azungumza na Wanahabari Dodoma. kuhusiana na Mwenendo wa Bunge la...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wana Habari hawapo Pichani kuhusu muenendo wa Bunge la Katiba unaoendelea Mjini Dodoma.Balozi Seif akizungumza na Wana Habari waliojumuika...
View Article