BARAZA LA KATIBA ZANZIBAR (BAKAZA) linakualika kuhudhuria kongamano la aina yake juu ya Uundwaji wa Katiba Mpya ya Tanzania litakalofanyika Jumamosi ya leo, tarehe 10. 5. 2014 saa 2.30 asubuhi katika ukumbi wa TAASISI. Shime wananchi wote kuhudhuria. Vitabu vitatolewa bure.
↧