Mkutano wa Wenyeviti,Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi za Mashirika na Taasisi...
Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi wa Mashirika na Taasisi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza katika mkutano wa siku moja...
View ArticleTaasisi za Serikali zatakiwa kuzingatia Sheria No 2 ya utumishi wa umma
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 8 Mei , 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
View ArticlePicha na matukio kutoka Pemba
MWALIMU mkuu wa skuli ya sekondari ya Kengeja wilaya ya Mkoani Pemba, Mohamed Hamad, akiwaonyesha wajumbe wa Jumuia ya watu wa Kengeja ‘KEDO’ waishio Dar –es Salaam, msingi wa jengo la madarsa , mara...
View ArticleMECCO yatakiwa kukamilisha barabara kwa wakati
Na Haji Nassor, PembaMkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Dadi Faki Dadi, ameiagiza kampuni ya MECCO inayojenga barabara ya Wete-Gando na Wete-Konde, kufanya kila juhudi kuhakikisha kazi hiyo ilioanza...
View ArticleOMPR yakana kula fedha za mfuko wa jimbo
Na Mwandishi wetu.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema mkanganyiko uliojitokeza kuhusu fedha za majimbo hauhusiani na ofisi yake, kwani bado fedha hizo hazijaingizwa kwenye...
View ArticleZAWA kuimarisha huduma za maji Mji Mkongwe
Na Madina IssaSerekali ya Mapinduzi ya Zanzibra na Kampuni ya Don Consult ya Dar es Salaam,zimetiliana saini mkataba wa mradi wa maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira mjini Zanzibar (ZUWSSP)...
View ArticleMama Shein na Ujumbe wake wakabidhi Vifaa vya Umeme kwa Skuli ya Mwangapwani...
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Katyibu Mkuu wacWizara ya Elimu Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Mwanaidi Saleh, alipowasilin katika...
View ArticleMzimu wa katiba wahamia bunge la bajeti
Na Mwantanga Ame, DodomaMzimu wa Bunge la Katiba umeanza kulizunguka bunge la bajeti, baada ya Mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni jana, Freeman Mbowe, kuwasilisha hotuba yake yenye madai mengi...
View ArticleGhasia atangaza kiama cha wala rushwa
Na Matrida Mwenzegule Wakati Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo, akitanganza kiama kwa wazee na wasio na elimu za kutosha wizarani kwake, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za...
View ArticleBAADA YA UCHOVU WA KAZI::LEO NI AMSHA AMSHA NA SKYLIGHT BAND PALE THAI...
Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo...
View ArticleMnada wa samaki Bandari ya Msuka, Pemba
WACHUUZI wa samaki katika bandari ya Msuka, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa wamezunguka mnada wa samaki bandarini hapo, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.(Picha na Abdi...
View ArticleStendi kuu ya Daladala Chakechake
KUFUATIA kuongezeka ka maduka ndani ya soko kuu la Chake Chake, limepelekea kuifanya steni ya dalala kuwa ndogo na kupelekea usumbufu wa magari mbali ya abiria kuingia na kutoka, kama inavyonekana...
View ArticleBarabara ya Michakaeni - Machomanne
IPO haja kwa Serikali na Taasisi husika zinazosimamia masuala ya barabara, kuzifanyia matengenezo barabara ambazo tayari zimeshaanza kumengwa na maji ya mvua, kama inavoonekana katika picha, barabara...
View ArticleNeema ya mvua za Masika , miche ya mikarafuu inauzwa kwa wingi Pemba
KUFUATIA mvua kuendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali kisiwani Pemba, imekuwa nafuu kwa wanavukundi mbali mbali, kuendelea kuatika miche mbali mbali ya mikarafuu, pichani miche ya mikarafuu...
View ArticleMadhara ya mvua za Masika, Chakechake Pemba
WANANCHI mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua...
View ArticleZanzibar yafikiria kujenga ukumbi wa kisasa wa mikutano
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mkewe Mama Pili Juma Iddi kulia wakitabasamu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman kwenye tafrija maalum kwenye...
View ArticleBakaza laandaa Kongamano la uundwaji wa Katiba leo
BARAZA LA KATIBA ZANZIBAR (BAKAZA) linakualika kuhudhuria kongamano la aina yake juu ya Uundwaji wa Katiba Mpya ya Tanzania litakalofanyika Jumamosi ya leo, tarehe 10. 5. 2014 saa 2.30 asubuhi katika...
View ArticleChangamkia Ajira PBZ!
TELLER4 (2UNGUJA 2 PEMBA.)1.1 Terms of employment: three years contract (renewable)1.2 REQUIRED QUALIFICATIONS 1. Bachelor Degree in banking commerce, economic, economic Business...
View ArticleBalozi Seif aagia makubaliano kati ya Muwekezaji wa Hoteli ya Sea Cliff na...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza kwenye Kikao cha Utiaji saini makubaliano maalum kati ya Mradi wa Hoteli ya Sea Cliff na Uongozi wa Kamati Nne za Vijiji vya Kiomba...
View Article