Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi akionesha Begi ,likiwa na Bajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar, akiwaonesha Wajumbe tayari kwa kuiwakilisha katika Mkutano wa Kikao cha Baraza leo jioni katika ukumbi huo.Na kuhudhuriwa na wageni Maalum na Wananchi wa Zanzibar kusikiliza Bajeti yao.ikiwasilishwa na Waziri husika.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Bajeti ya Serekali ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha Zanzibar, Mhe Omar Yussuf Mzee katika ukumbi huo leo jioni.
Wadau wa Maendeleona Mabalozi waliopo Zanzibar wakifuatilia Hutuba yaBajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwakilishwa na Waziri wa Fedha Zanzibar, Mhe. Omar Yussuf Mzee.leo jioni.