Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Ziara wa Wanafunzi wa Chuo cha National Defence College kutoka Dar-es-Salaam, wakitembelea Sehemu za historia Mtoni Palace Ruins

$
0
0
Wakufunzi wa Chuo cha National Defence College Dar, wakitembelea sehemu ya historia ya magofu ya Mtoni kuona historia ya Zanzibar,wakiwa katikacziara ya kimasomo Zanzibar.  
Mfanyakazi wa Idara ya Makumbusho ya Taifa Zanzibar Ndg. Said Hamad akitowa historia ya magofu hayo kwa kuwaonesha picha wa Wafalme waliokuwa wakika katika nyumba hizi enzi ya Utawala wa Kisultal. 
Mfanyakazi wa Idara ya Makumbusho ya Zanzibar Said Hamad akitowa maelekezo na hadithi ya magofu hayo kwa Wanachuo hao waliofika katika magofu hayo mtoni kuagalia historia yake.akiwa kavalia vyazi la kiarabu kuashiria yeye ni mtawala wa nyumba hiyo akiwapokea wageni wake na kuwatembeza katika makazi yake. 
Sehemu ya historia ya magofu ya mtoni yakiwa katika hali nzuri kutokana kufanyiwa mategenezo kuweka historia kwa wageni wanaofika kutembelea eneo hilo la historia ya Zanzibar. 
          Wakufunzi wakitembelea maeneo ya Magofu hayo, wakiwa katika moja ya sehemu ya gofu hilo

Mkuu wa Chuo cha National Defence College Luteni Jenerali Charles L . Makakala,akimsikiliza mfanyakazi wa Magofu hayo Said Hamad, akitowa maeleo kwa Kiongozi huo walipofika kutembelea magofu hayo kujionea historia ya wakati wa Ukoloni Zanzibar.
                        Wakiangalia vitabu vya historia ya Zanzibar kuhusiana na jengo hilo la Mtoni
Wakiburudika na kahawa ya Zenj ikiwa katika mdeli lake la asili ya wakati huo kahawa ikiuzwa katika mdeli wa shaba kama unavyoliona mdeli huo juu ya stuli.

      Wakiburudika na madafu baada ya kutembelea magofu ya mtoni na kujionea historia hiyo ya gofu hilo







Wakiburudika na madafu baada ya kutembelea magofu ya mtoni na kujionea historia hiyo ya gofu hilo





Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>