ZSTC Yavuka lengo la Kununua Karafuu kwa Mwaka 2013/2014
Na Mwandishi Wetu.Shirika la taifa la biashara Zanzibar ZSTC imevuka lengo na kununua ya tani 5345za za karafuu iliyokusudia kununua tani 3400 kwa mwaka 2013/2014.Mkurugenzi muwezeshaji ZSTC Bi....
View ArticleMkuu wa Mkoa Awataka Wafanyakazi Sekta ya Umma Kufuata Maadili.
Mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba Dadi Faki Dadi amewataka wafanyakazi wa sekta ya umma kuheshimu maamuzi ya serikali na kutojiingiza katika migogoro ya kijamii. Amesema wafanyakazi wa serikali wanapaswa...
View ArticleMzigo Mzito Uliomshinda Mhe. Kofi Annaan, Wamshinda Pia Mhe. Lakhdar Brahim
Na Mwandishi Maalum,New YorkBan Ki Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa masikitiko makubwa ametangaza kukubali kwake kujiuzuru kwa mwakilishi maalum wa Umoja wa mataifa na Muungano wa nchi...
View ArticleUtoro waathiri maendeleo ya wanafunzi Zanzibar
Na Mwandishi wetu ZANZIBAR bado inakabiliwa na tatizo la kuporomoka kwa maadili pamoja na utoro uliokithiri shuleni. Jambo hilo linawapa changamoto jamii na serikali kutafuta njia ya kulitatua. Huku...
View ArticleMsiba wa Mtoto wa Ndugu yetu Salva Rweyemamu
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei,2014 katika...
View ArticleHOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT ASHA-ROSE MIGIRO KWA MWAKA...
HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBANA SHERIA MHESHIMIWA ASHA-ROSE MTENGETI MIGIRO (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MPANGONA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWAMWAKA 2014/2015A. UTANGULIZI1. Mheshimiwa...
View ArticleDkt Shein;Dhamira Yetu ni Kuendeleza na Kuimarisha Ushirikiano Wetu.na IFAD
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 15-5-2014TAARIFA KWA...
View ArticleUjumbe wa IFAD kukutana na Rais Dkt.Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini...
View ArticleRais Kikwete Amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Urusi,Naibu Katibu Mtendaji wa...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha...
View ArticleArticle 1
Kiongozi wa Wanafunzi 46 wa Skuli mbali mbali za Sekondari kutoka Nchini marekani waliopo Kiwengwa Zanzibar Bwana Criss Backam akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi uwepo...
View ArticleRotary Klabu akabidhi Computer Wizara ya Elimu Zanzibar
Na Othman Ame OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Wanafunzi Nchini kuendelea kujifunza Taaluma mbali mbali kupitia mfumo wa kisasa wa Teknoloji ya...
View ArticleCECAFA yawapa ulaji Kibo na Kinduli
Na Ali CheupeBARAZA la vyama vya michezo kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati CECAFA limewateuwa waamuzi wawili wenye beji za FIFA kutoka Zanzibar kuelekea nchini Sudan kwenye michuano mipya ya Nile...
View ArticleArticle 7
Mkufunzi wa mafunzo ya utoaji huduma bora kwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Bwa. Peter Ssali kutoka Uganda akifundisha katika mafunzo hayo Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi...
View ArticleMkufunzi wa CAF Akitowa mafunzo kwa Wachezaji wa timu ya Polisi.
Mkufunzi na Kamisaa wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Muhsin Ali 'Kamara'akiwapa darsa ya sheria na kanuni za kimataifa za soka wanandinga na viongozi wa klabu ya Polisi inayokwenda Sudan...
View ArticleBalozi Seif awaandalia Tafrija Ujumbe wa Bodi ya Tendaji ya Mfuko wa IFAD,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi SeIF Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa...
View ArticleBalozi Seif Azungumza na Ujumbe wa Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya...
Na Ohman Ame OMPR.Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi...
View ArticleMdau mambo ya Usalama wa Barabarani hayoo......
Askari wa Usalama barabara akimuhoji kondakta wa daladala ya bububu kwa kukiuka sheria za usalama barabarani na kumfungulia kosa akimuorozesha katika kitabu chake katika eneo la maruhubi Zanzibar.
View ArticleDkt Shein:Uimarishaji Miundombinu ya Usafiri wa Anga Nchini, Unalenga...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 16 Mei,...
View ArticleZiara wa Wanafunzi wa Chuo cha National Defence College kutoka Dar-es-Salaam,...
Wakufunzi wa Chuo cha National Defence College Dar, wakitembelea sehemu ya historia ya magofu ya Mtoni kuona historia ya Zanzibar,wakiwa katikacziara ya kimasomo Zanzibar. Mfanyakazi wa Idara ya...
View ArticleDk Shein Akutana na katibu Mkuu wa shirika la kimataifa la Usafiri wa anga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,(kulia) alipofika Ikulu Mjini...
View Article