Vijana wa uhamasishaji wakitoa burdani mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam
Kijana mwenye ulemavu wa miguu akijinadi kuomba kuchaguliwa mjumbe wa Baraza kuu la Uongozi CUF kupitia kanda ya Magharibi
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akipiga kura kuchagua wajumbe wa Baraza Kuu la uongozi CUF Taifa, kanda ya Magharibi.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF Taifa wakifuatilia mkutano huo unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam. (Picha na Salmin Said, OMKR
Na: Hassan Hamad (OMKR).
Mkutano Mkuu wa CUF Taifa ukiendelea na harakati za uchaguzi. Leo hii wajumbe wa mkutano wamefanya uchaguzi kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa watakaoziwakilisha kanda saba za Tanzania Bara. Kanda hizo ni Kanda ya Kaskazini, kanda ya kati, kanda ya magharibi na kanda ya nyanda za juu kusini. Nyengine ni kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kusini. Jumba ya wajumbe 25 watachaguliwa kuziwakilisha kanda hizo.
Wakati huo huo Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, amewateuwa wanachama 16 kuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa 6 kati yao wakitokea Zanzibar