Uchaguzi wa wajumbe wa Baraza kuu la Uongozi CUF
Vijana wa uhamasishaji wakitoa burdani mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam Kijana mwenye ulemavu wa miguu akijinadi kuomba...
View ArticleZECO:Kuzimika mitambo kulisababisha umeme kukatika
Na Mwandishi wetuSHIRIKA LA Umeme Zanzibar (ZECO) limesema kukatika umeme katika maeneo yote ya Unguja na Pemba, kulitokana na kuzimika ghafla mitambo ya kuzalisha umeme Tanzania Bara.Taarifa ya ZECO...
View ArticleWakimbizi wanapaswa kusaidiwa, jamii yatahadharishwa
Na Fatina Mathias, DodomaJAMII nchini imetakiwa kutambua kuwa wakimbizi na wahamiaji wasio rasmi, wana haki ya kuhudumiwa, kusikilizwa na kusimamiwa kama walivyo binadamu wengine.Mbali na hilo pia...
View ArticleKikongwe auawa kwa kupasuliwa kichwa
Na Kadama Malunde,KahamaMWANAMKE mmoja mzee mkazi wa Nyahanga,wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Rebeka Shija (82), ameuawa kikatili kwa kukatwa kwa shoka kichwani na mke wa mtoto wake, aliyejulikana...
View ArticleUpasuaji Chake Chake wasimama · Wagonjwa, wajawazito wahamishiwa hospitali za...
Na.Abdi Suleiman na Sada Ali, PembaHUDUMA za upasuaji katika hospitali ya wilaya Chake Chake zimesitishwa kutokana na kuharibika mashine ya kuwawekea dawa ya usingizi wagonjwa wanaohitaji kufanyia...
View ArticleMichango Kuchangia Bajeti ya Wizara ya Ardhi
Wajumbe waBaraza la Wawakilishi wakifuatilia michango iliokuwa ikiwasilishwa na Wajumbe wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi Zanzibar.Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe Mahmoud...
View ArticleWizara ya habari watakiwa kuendeleza ushirikiano
Na Mwandishi wetuWATENDAJI na wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, wametakiwa kuendelea kushirikiana katika kutekeleza majukumu waliyopangiwa katika taasisi zao.Wito huo...
View ArticleMarekani yaipatia Tanzania vitabu milioni 2.5 vya sayansi
Na Mwandishi wetuMAREKANI imeipatia Tanzania vitabu vingine milioni 2.5 vya masomo ya sayansi kwa skuli za sekondari katika mwendelezo wa nchi hiyo kuisaidia Tanzania kukabiliana na uhaba wa vitabu na...
View ArticleSaba mbaroni wakituhumiwa kuripua bomu Darajani
Na Khamisuu AbdallahJESHI la Polisi Zanzibar, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kutekeleza shambulizi la bomu katika maeneo ya Darajani na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine saba...
View ArticleViwavi jeshi vyaathiri mavuno ya mpunga kaskazini Unguja
Na Husna MohammedWAKULIMA wa mpunga mkoa wa kaskazini Unguja, wamesema msimu wa mavuno ya mpunga kwa mwaka huu ni mabaya ikilinganishwa na miaka iliyopita.Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti...
View ArticlePBZ Yatowa Elimu kwa Wajasiriamali Zanzibar Kuadhimisha Miaka 48 ya PBZ.
Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleiman, akisoma ratiba ya Semina hiyo iliowashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya PBZ Tangu kuazishwa...
View ArticleRais Kikwete Akutana na Rais Mpya wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais mpya wa Nchi ya Misri Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi, mjini Malabo, Equatorial Guineawakati wakihudhuria mkutano wa...
View ArticleBalozin Seif Azitaka Kamati za Misikiti Kuendelea kuwa Imara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa msikiti wa Ijumaa wa Kiboje Mamboleo baada ya kumalizika kwa sala ya ijumaa. Balozi Seif akizungumza na waumini wa...
View ArticleUjenzi wa Barabara ya Weles Waaza baada ya muda mrefu.
Gari la maji likitilia maji kifusi ili kuweza kushindiliwa kwa saga maweUjenzi wa barabara ya weles kwenda gongoni yaaza ujenzi wake baada ya kukaa kwa muda mrefu bila ya...
View ArticleRais Kikwete Aongoza Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika kuhusu Tabia Nchi.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wahi ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa...
View ArticleHotuba ya Balozi Seif alipofunga mkutano wa 16 wa Baraza la Wawakilishi
HOTUBA YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR,MHE. BALOZI SEIF ALI IDDI KATIKA UFUNGAJI WAMKUTANO WA 16 WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBARTAREHE 28 JUNI, 2014 . Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe...
View ArticleHotuba ya maoni ya Kamati ya Maendeleo ya wanawake na ustawi wa Jamii BLW
HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA MAENDELEO YA WANAWAKE NA USTAWI WA JAMII KUHUSIANA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA HAKI NA USTAWI WA WATOTO KWA MWAKA 2013/2014 NA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA...
View ArticleUtoro wa Wajumbe wa BLW wamkera Makamo wa Pilli wa
Na Himid Choko, BLWMAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Balozi Seif Ali Idd amekemea vikali tabia mbaya ya utoro iliyojengeka kwa baadhi ya wajummbe wa Baraza la Wawakilishi kutohudhuria...
View Article