Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

PBZ Yatowa Elimu kwa Wajasiriamali Zanzibar Kuadhimisha Miaka 48 ya PBZ.

$
0
0
Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleiman, akisoma ratiba ya Semina hiyo iliowashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya PBZ Tangu kuazishwa mwaka 1966. semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Washiriki wa Semina ya kuadhimisha miaka 48 ya PBZ Zanzibar wakimsikiliza Meneja Masokoakitowa maelezo ya semina hiyo.
Washiriki wa Semina ya kuadhimisha miaka 48 ya PBZ Zanzibar wakimsikiliza Meneja Masokoakitowa maelezo ya semina hiyo.
Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Watu wa Zanzibar,Ndg. Rajab Abdallah, akitowa maelezo ya Semina hiyo na kutowa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazotolewa na PBZ kwa Wateja wake wakubwa na wadogo na kueleza malengo waliojiwekea kuimarisha huduma kwa wateja na kuwahamasisha Wafanyabiashara wadogo Wajasiriamali kuitumia PBZ kufanikisha biashara zao.
Meneja Rasilimali Watu wa PBZ Ndg. Rajab Abdallah akifafanua jambokwa Washiriki wa semina ya kutowa hutuma kwa wateja wao.Ikiwa ni maadhimisho ya miaka 48 ya kuazishwa kwa PBZ tangu mwaka 1966, na kuongezeka kwa Wateja na kuimarisha huduma zake kwa Wananchi wa Zanzibar na Nje ya Zanzibar kupata huduma za PBZ. 
Mgeni Rasmin Dkt Mohammed Hafidh, akifungua semina hiyoya Wajasiriamali kupata elimu ya huduma zinazotolewa na PBZ kwa  wateja wake kupitia PBZ Islamic na PBZ Banki,akimuwakilisha Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Washiriki wa Semina ya Wajasiriamali Zanzibar wakimsikiliza muwezeshaji akiielezea PBZ jinsi inavyotowa huduma zake kwa Wateja wake kupitia huduma zake za kibenki.
Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg. Seif Suleiman,akitowa mada kuhusiana na huduma zinazopatika kupitia PBZ, kwa Washiriki wa semina hiyo inayoendana na kuadhimisha miaka 48 ya kuazishwa kwa PBZ mnamo mwaka 1966. 

Washiriki wa Semina ya kuadhimisha miaka 48 ya PBZ Zanzibar wakimsikiliza Meneja Masokoakitowa maelezo ya semina hiyo.
Mshauri wa Sheria za Kiislam Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Shekh. Ali Sharif, akitowa mada kuhusiana na uendeshaji wa Benki ya kiislamu wakati wa semina hiyo iliowashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar. 

Mjasiriamali akichangia katika semina ya kutoa Elimu kwa Wajasiriamali kupata Elimu ya huduma zinazotolewa na PBZ kwa Wateja wake kupitia huduma mbalimbali zinazopatikana kupitia benki hiyo na faida yake kwa wafanyabiashara.  
Maofisa wa PBZ wakimsikiliza mtoa mada ya Sheria ya PBZ Islamic wakati semina ya kutimia miaka 48 ya PBZ tangu kuazishwa kwake mwaka 1966.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>