Wadau wa Sekta ya Habari Zanzibar wakiwa katika makundi wakipitia na Kujadili kuboresha Utendaji wa Chuo cha Habari Zanzibar na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) jinsi ya kuimarisha zaidi, utendaji wake wa kazi na kufikia kiwango cha kimataifa, Warsha hiyo imeendeshwa na Wataalamu kutoka DeutshWeelle Ujurumani, na kufanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Wadau wakijadili jinsi ya kuboresha huduma za uendeshaji wa Chuo na na Shirika la Utangazaji Zanzibar.Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg Abdallah Hassan Mitawi akichangia wakati wa warsha hiyo ya Uboreshaji wa Sekta ya Chuo cha Habari na Shirika la Utangazaji Zanzibar.