Utunzaji wa Mazingira ya Mji wa Zenj
Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar akizibua mtaro wa maji machafu katika eneo la michezani jumba namba 7, eneo hilo ni linatatizo la kuziba mitaro ya maji machafu kwa muda mwingi na kusababisha...
View ArticleMaandalizi ya Michezo ya Makeshi Yakamilika
Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Janerali Shariff Shekh. Othman, makamu Mwenyeki ya Kamati ya Micezo ya Majeshi ,akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar...
View ArticleRais wa Zanzibar Ahudhuria Mazishi ya Mjane wa Marehemu Mzee Idrisa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya...
View ArticleBustani ya Forodhani na Ufukwe wake Zenj
Jamani tangazo hili halioni au ndio mbambo ya kupuuza matangazo. Ufukwe wa forodhani ukiwa katika mazingira mazuri ya usafi
View ArticleKombe la Majimbo Kati ya Mwanakwerekwe na Chumbuni Uwanja wa Mao. Timu hizo...
Mshambuliaji wa timu ya Jimbo la Chumbuni akiwapita mabeki wa timu ya Mwanakwerekwe katika mchezo wa Kombe la Majimbo, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare 2--2.Hii huo ni mchezo wa...
View ArticleHaki za watoto ziangaliwe upya
Na Salim Said Salim KILA zama zina mambo yake, mazuri na mabaya. Zama tulionazo Zanzibar sasa ni za kusikitisha kwa vile ukienda sokoni, kwenye kituo cha daladala au katika baraza za kahawa...
View ArticleDisko lapigwa marufuku eneo la Kiwengwa
Waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk (wakatikati) katika ziara ya kutembelea mabaa na mahoteli ya kitalii, kutokana na wananchi kulalamikia vitendo vya upigwaji wa ngoma na...
View ArticleSumatra Mko Wapi? Abiria wanateseka zaidi ya masaa 6 Bila ya Msaada.
Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX...
View ArticleWataalum kutoka DeutsheWelle Ujerumani watowa Warsha ya Kuboresha Chuo cha...
Wadau wa Sekta ya Habari Zanzibar wakiwa katika makundi wakipitia na Kujadili kuboresha Utendaji wa Chuo cha Habari Zanzibar na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) jinsi ya kuimarisha zaidi, utendaji...
View ArticleJK:Uraia pacha muhimu.Ikulu yasema Rais hana ubavu kulivunja bunge
Na Fatma Kitima, Dar es SalaamWAKATI msuguano kuhusu uraia pacha ukiendelea katika bunge maalum la katika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amesema suala hilo ni muhimu...
View ArticleTume ya Warioba yaombwa kuwanasihi UKAWA kurudi bungeni
Na Rose Masaka, MaelezoBALOZI wa amani nchini Tanzania, Risasi Mwaulanga, ameiomba iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kuwashawishi wajumbe wa bunge la katiba kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleJeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Chatoa Mafunzo kwa Wananfunzi...
Sajeti Ali Kassim akitowa mafunzo kwa Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Vikokotoni jinsi ya matumizi ya barabara kwa watumiaji wa kutembelea kwa miguu ili kuepusha ajali wakati wanafunzi wanapotoka...
View ArticleIndia yasherehekea miaka 68 ya Uhuru wa India
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar , Akipandisha Bendera kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa Indiamaadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India migombani...
View ArticleWachungaji Morogoro wapiga marufuku vijana wa Kisukuma kutembea na fimbo
Na Farida Msengwa,MorogoroWACHUNGAJI wa jamii ya kisukuma wamepigwa marufuku kutembea mitaani na fimbo kutokana na baadhi yaokuzitumia vibaya kwa michezo ambayo wakati mwingine husababisha mauaji.Onyo...
View ArticleDk. Shein aipongeza India kutimiza miaka 68 ya uhuru
Na Said Ameir,IkuluRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein, amempelekea salamu za pongezi Rais wa India, Shri Pranab Mukherjee kwa kutimiza miaka 68 ya uhuru wa nchi...
View ArticleBenki EAC kukua miaka miwili ijayo
Na Mwandishi wetuJames Gashumba, EANA BENKI zilizomo katika nchi wananchama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zinatarajia kukua na kupanuka katika kipindi cha miaka miwili ijayo, kwa mujibu...
View Article