Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar , Akipandisha Bendera kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India migombani Zanzibar .Wakijumuika na Wananchi wa India kuadhimishi siku ya Uhuru kutimia miaka 68 tangu India kupata uhuru wake.
Balozi Mgodo wa India Nchini Zanzibar Balozi Satendar Kumar akitowa heshima baada ya kupandisha Benderea kwa ajili ya kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar.
Wananchi wanaoishi Zanzibar wenye asili ya India wakihudhuria sherehe za kutimia miaka 68 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi wa India Mogombani Zanzibar.
Wananchi wanaoishi Zanzibar wenye asili ya India wakihudhuria sherehe za kutimia miaka 68 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Ubalozi wa India Mogombani Zanzibar.Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akisoma hutuba ya Rais wa India wakati wa maadhimisho ya sherehe miaka 68 ya Uhuru wa India , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar . jana.
Wananchi wenye Asili ya India wakijumuika na Wananchi wa India kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar , Balozi Satendar Kumar akisoma hutuba hiyo kwa niaba ya Rais wa India Shri Pranab
Wananchi wenye asili ya India wanaoishi Zanzibar wakimsikiliza Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, wakati akisoma risala ya Rais wa India ikiwani kuadhimisha siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 68.iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar
BALOZI Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza na Wananchi wenye asilin ya India katika viwanja vya Ubalozi wa India, wakati wa hafla hiyoya kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akisalimiana na wananchi waliohudhuria sherehe hiyo ya kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar
Wananchi wenye asili ya India wakipata viburudisho baada ya sherehe za kusherehekea Uhuru wa India kutimia miaka 68, wakiwa katika viwanja vya Ubalozi wa Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza na Wananchi wenye asilin ya India katika viwanja vya Ubalozi wa India, wakati wa hafla hiyoya kuadhimisha miaka 68 ya Uhuru wa India iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar