Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Bilal Akifungua Mkutano wa Sita wa Vyuo Vikuu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano wa Sita wa Vyuo Vikuu uliofanyika leo Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha....
View ArticleUsafi wa Mazingira Michenzani
Waafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakifanya usafi katika moja ya barabara za Michenzani kuweka mazingira ya eneo hilo kuwa safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo
View ArticleDK.Shein Atembelea Karakana Matrekta Mbweni leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza suala kwa Fundi Mkuu wa kitengo cha ufundi wa Matrekta Iddi Makelele (kushoto) wakati alipofanya ziara maalum katika...
View ArticleDK. SHEIN:DHAMIRA YETU NI KUIMARISHA KARAKANA YA MATREKTA MBWENI
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 13 Agosti,...
View ArticleDk Shein asisitiza umuhimu wa vikao vya viongozi na watumishi sehemu za kazi
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 13 Agosti, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na...
View ArticleTaarifa Muhimu kwa Wamiliki Ardhi, Nyumba na Mashamba Zanzibar
Idara ya Ardhi na Usajili imemaliza Utambuzi wa Wamiliki wa Ardhi katika eneo la Mji Mkongwe na Shehia 14 za Ng'ambo. Usajili umeanza rasmi. Kwa waliopo nje ya Zanzibar na wanamiliki ardhi katika...
View ArticleTaaraifa ya Ndg. Habibu Mchange kwa Waandishi wa Habari Leo.
PRESS RELEASETAARIFA YA NDUGU HABIBU MCHANGE KUHUSU KUHUSISHWA NA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WENGINE ILI KULIPUA HELKOPTA YA SLAA NA MNYIKA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA NA MASWALA MENGINETAREHE.14.08.2014....
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya Diaspora wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14,...
View ArticleDK. SHEIN AWATUMIA SALAMU ZA PONGEZI VIONGOZI WA INDIA KWA KUTIMIZA MIAKA 68...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 14 Agosti,...
View ArticleWananchi Mkoa wa Kusini watakiwa kuwa na ushirikiano kwa lengo la kulinda...
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Bw. Ahmed Shehe, akizungumza katika Mkuta wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kusini Unguja, Manahodha na wamiliki wa vyombo vidogo...
View ArticleTahliso lakanusha kuwepo Maandamano ya wanafunzi wa Chuo Kikuu
Makamu Mwenyekiti wa TAHLISO Abdi Mahmoud Abdi akizungumza na Waandishi wa habari leo Mjini Idara ya Habari maelezo Zanzibar kuhusu kukanusha Taarifa ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho....
View ArticleKombe la Majimbo Zanzibar Kati ya Mtoni na Kwamtipura timu hizo zimetoka sare...
Viongozi wa timu ya Jimbo la Kwamtipura wakiwa na majonzi wakati timu yao ilipokuwa nyuma kwa bao moja dhidi ya timu ya Jimbo la Mtoni na hatimai wameweza kufanikiwa kusawazisha bao hili katika dakika...
View ArticleKampuni ya Huawei kuwekeza katika mradi wa umeme wa jua Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Afisa Mkuu wa Kampuni ya Huawei ya China Bwana Bruce Zhang Ofisini kwake ndani ya Jengo la Msekwa katika Viunga vya Bunge la...
View ArticleMahakama Kuu: Ombi la dhamana kwa Mansour limekidhi vigezo
Mahakama kuu Zanzibar leo imesikiliza ombi la dhamana lililowasilishwa na Mawakili wanaomtetea aliewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mh.Mansour Yussuf Himid. Baada ya kusikiliza hoja...
View ArticleBaraza la Eid ul Fitr 2014 liloandaliwa na Jumuiya ya Al yamin Zanzibar
Balozi wa Yeman Nchini Tanzania Abdallah Hassan Al Amry akikaribishwa rasmi na Sheikh Omar Al Sheikh, katika sherehe za Eid ul Fitr zilizoandaliwa na Jumuiya ya Al yamin, siku ya Jumatano July 30, 2014...
View ArticleMambo ya Foro, Waturuki nao wamo!
Mjasiriamali kutoka Uturuki akiwajibika katika kuandaa mikate maalum ambayo huandaliwa hapohapo na kuuziwa wateja Fresh Mutuki akikuandalia chakula aina ya Mushawar ambacho huuzwa kwa sh 3500/-
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Serekali Jaji Fredrick Werema Atakutana na Wanaharakati...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Fredrick Werema atazungumza na Wanahabari kesho, Jumamosi, Agosti 16, 2014 kuanzia saa 4:30 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano (Ground Floor) wa Tume ya Haki za...
View Article