Wanajeshi watatu wafariki DRC
Na Mwandishi wetuWANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamefariki katika ajali ya gari.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleWabunge, wawakilishi CUF watakiwa kuchangia miradi ya chama
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akimkabidhi funguo za gari Mwenyekiti wa CUF, Wilaya ya Mkoani, Rashid Saleh. Gari hiyo imetolewa kwa ajili ya shughuli za chama. Kushoto...
View ArticlePlanet Core ya India ina nia ya kuwekeza Zanzibar ili kuimarisha uchumi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogop ya Mji wa...
View ArticleZSTC laelimisha wananchi juu ya uimarishaji wa zao la karafuu kwa njia ya Sinema
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Shirika la Biashara la Taifa ZSTC limeandaa Programu ya Maonesho ya Sinema katika Vijiji vya Unguja kwa lengo la kuwaelimisha wananchi juu ya uimarishaji wa Zao la...
View ArticleJumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma Chuo cha Kiislamu Mororgoro...
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo kikuu cha Kiislamu Morogoro Nd.Kassimu N’gwali akitoa neno la shukrani kwa waalikwa wa hafla yao ya kuagana kwa wanajumiya...
View ArticleJamii yatakiwa kuishi vyema na wenye ulemavu
Na Abdi Suleiman, PEMBAWANANCHI kisiwani Pemba, wametakiwa kujenga misingi ya kuwafahamu watu wenye ulemavu na kujuwa mbinu mbali mbali za kuishi na watu hao.Wito huo umetolewa na washiriki wa Mkutano...
View ArticleHospitali ya Kivunge yaomba usafiri
Na Fatma Kassim, MaelezoHOSPITALI ya Kivunge iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja inakabiliwa na tatizo la usafiri wa wajawazito na wagonjwa wengine wanaohitaji huduma hiyo.Wanaoathiriwa zaidi na tatizo...
View ArticleJICA yaisaidia ZAWA kuboresha miundombinu maji
Na Amina Masoud, MCCMKURUGENZI wateja kutoka Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Nd. Mussa Ramadhan Haji ameishukuru Kampuni ya Japan International Cooperation Agency (JICA), kwa misaada...
View ArticleHoteli 74 zapandishwa daraja Zenji
Na Laylat KhalfanKAMISHENI ya Utalii Zanzibar, imefanya zoezi la kuzichunguza hoteli zote za Unguja na Pemba pamoja na kuzipandisha daraja zilizostahili ambapo jumla ya hoteli 74 za kitalii...
View ArticleHaroun awataka Makunduchi kutunza miradi ya maendeleo
Na Mwanrafia Kombo, MCCVIONGOZI wa jimbo la Makunduchi wametakiwa kubuni miradi ya maendeleo, licha ya kuwepo kwa mafanikio makubwa jimboni humo ikiwemo kupatiwa ufumbuzi kwa tatizo la maji safi na...
View ArticleKamisha wa Polisi, DCI Z’bar wapandishwa tena kizimbani
Na Khamis AmaniKESI inayowakabili Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Oamar Makame na Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Salum Msangi, waliofunguliwa mashtaka na ndugu wa watu wanane kwa...
View ArticleMatukio ya Hapa na Pale China.
Mjasiriamali akiwa katika mitaa ya mji wa Beijing akiwa na baskeli yake ya maringi matatu akitembeza biashara ya maakuli kwa wananchi wa mji huo.Wajasiri amali wako kila sehemu duniani wakitafuta...
View ArticleUjenzi uwanja wa ndege Z’bar uliokwama miaka miwili waanza tena
Na Nafisa MadaiHATIMAE ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar uliokua umekwama kwa muda mrefu, umeanza kwa kasi huku ujenzi huo ukitarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.Akizungumza na...
View ArticleBalozi Seif Atembelea Ujenzi wa Tangi la Maji Safi na kukabidhi Mabati...
Balozi Seif akikamilisha kukagua tangi la kuhifadhia maji safi na salama la Mwanguo Bwereo litakalohudumia huduma hiyo kwa wananachi wa Vijiji mbali mbali vilivyomo ndani ya Wilaya ya Kaskazini “A...
View ArticleBalozi Seif Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Mvuleni.
Na Othman Khamis Ame. OMPRSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwahudumia Wananchi wake katika kuwapatia huduma muhimu na za msingi za Kijamii ikielewa fika kwamba inatekeleza Sera na ilani...
View ArticleWawili wafa kwa ajali
Na Khamisuu AbdallahASKARI Polisi wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), amefariki dunia baada ya vespa aliyopanda kuacha njia na kugonga mti katika maeneo ya Chukwani nje kidogo ya Mji wa...
View Article