Mjasiriamali akiwa katika mitaa ya mji wa Beijing akiwa na baskeli yake ya maringi matatu akitembeza biashara ya maakuli kwa wananchi wa mji huo.Wajasiri amali wako kila sehemu duniani wakitafuta maendeleo ya kiuchumi katika biashara mbalimbali za aina kama hii.
Mji wa Lijiang muda wote uko katika hali ya usafi kutokana na juhudi za Taasisi husika kufuatilia kwa karibu kila dakika kuona hakuna uharibifu wa mazingira ya taka ya aina yoyote ile ikaharibu mji huo, kama inavyoonekana pichani mfanyakazi wa manispa hiyoakifanya usafi katika moja ya barabara za mji huo kuhakikisha hakuna uchafu katika eneo lake la kazi.