MKULIMA wa zao la karafuu wa kijiji cha Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, Khamis Mohamed Khamis, akianika karafuu zake kwenye majamvi, kama ilivyoshauriwa na shirika la biashara la taifa la ZSTC Zanzibar ambapo kufanya hivyo kunazisababisha karafuu kubaki na ubora wake
WANAFUNZI wa skuli ya sekonsari ya Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa madarasani wakifanya mitihani ya taifa ya majaribio, ikiwa ni hatua ya kujitayarisha na mitihani ya taifa inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao nchini kote
POLISI (kushoto) ambae hakufahamika jina lake, mwenye shati la vyumba akitoa msaada, baada ya kutokezea ajali kwa garia aina ya ‘carry’ kumgonga mpanda vespa alikuekuwa na chombo hicho chenye namba za usajili Z 836 BN eneo la Madungu mjini Chakechake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)