Waziri wa Miundaombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Juma Duni Haji, akifungua mkutano wa Wadau wa Umoja wa Mawasiliano wa Dunia unaoshirikisha Nchi 14 za Ukanda wa Afrika ,unaofanyika katika hoteli ya Double Tree shangani mjini Zanzibar
Waziri wa Miundaombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Juma Duni Haji, akifungua mkutano wa Wadau wa Umoja wa Mawasiliano wa Dunia unaoshirikisha Nchi 14 za Ukanda wa Afrika ,unaofanyika katika hoteli ya Double Tree shangani mjini Zanzibar
Washiriki wakimsikiliza Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Juma Duni akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya double tree shangani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote Tanzania Eng. Peter Ulanga, akitowa maelezo ya mkutano huo baada ya kufunguliwa na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. katika ukumbi wa hoteli ya double tree shangani Zanzibar.
Mtoa Mada Bi Ida Jallow, kutoka Gambia akitowa mada katika warsha hiyo ya Watendaji na Wadau wa Mawasiliano kutoka nchi 14 za Ukanda wa Afrika, inayofanyika Zanzibar kwa muda wa siku tano kuzungumzia mambo ya mawasilianino katika nchi hizo.
Washiriki wa Warsha ya kuzungumzia Mawasiliano ya Nchi za Ukanda wa Afrika wakifuatilia mada inayowasilishwa katika warsha hiyo inayofanyika katika ukumbi wa hoteli ya double treeZanzibar.
Baadhi ya Washiriki wa mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani wakimsikiliza mtoa mada Bi Ida Jallow, akitowa mada yake katika mkutano huo ulioshirikisha Nchi 14 za Ukanda wa Afrika itafanyika kwa muda wa siku tano inayofanyika katika ukumbi wa hoteli ya double tree shangani Zanzibar.Was