Waziri wa Biashara na Masoko Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui, akipokea maandamano ya Watu Wwenye Ulemavu wakati wa kuadhimishi siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani huadhimishwa kila mwaka mwezi Disemba, maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja Chakechake Pemba.Kitaifa yamefanyika kisiwani Pemba.
Waziri wa Biashara na Masoko Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui, akiyapokea maandamano ya Watu Wenye Ulemavu akiwapungia mkono wakati yakipita mbele yake kwa maandamano maalumu yalioandaliwa kwa ajili yake katika viwanja vya mjini Chakechake Pemba leo.Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri akiwahutubia Wananchi mbalimbali waliohudhuria sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani zilizoadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pemba katika viwanja Mji wa Chakechake Pemba leo. na kuhudhuwa na wananchi mbalimbali.
Afisa tawala mkoa wa kasakazini Pemba Khamis Salim Mohamed akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya watuwenye ulemavu dunia ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake Pemba
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar yalifanyika mjini Chakechake Kisiwani
Wanafunzi kutoka Tumbe mkoa wa kaskazini Pemba wakitumbuiza mshindo wa dufu kwenye maadhimisho ya siku ya watuwenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake Pemba