Idd el Fitr ilivyosherehekewa Chakechake Pemba
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mbarouk mwenye jaketi, akiamuondosha kijana anaedaiwa kuiba polo la mkaa, ambapo mwenyewe amekana kutokuiba polo hilo, katika maeneo ya Machomanne jana mchana,...
View ArticleMama Mwanamwema Shein, Awatembelea Wazee na Watoto Yatima katika Makaazi yao...
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwasalimia Wazee wa Kijiji cha Welezo. Wazee wa Kijiji cha Welezo wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na...
View ArticleHivi Ndivyo Ilivyokuwa Maandalizi ya Sikukuu Ilivyokuwa Zenj...
Mambo ya Viatu vya Eid HIYOO.Wananchi walivyokuwa katika harakati za kumalizia maandalizi ya kupata mahitaji ya Sikukuu katika maeneo ya maduka ya mchangani kama inavyoonekana hali halisi ilivyokuwa.
View ArticleKutoka Viwanja vya Sikukuu Zanzibar
Kipindi cha sherehe za sikukuu huwa na harakazi za hapa na pale na kuwa na msongamano mkubwa wa magari na watoto huwa wengi katika harakati hizo inabidi madereva kuwa makini wanapokuwa katika barabara...
View ArticleMchezo wa Fainal Kombe la Mbuzi Kikwajuni Jamaica na Jangombe.
Mchezaji wa timu ya Jangombe akimpita beki wa timu ya Jamaica katikamchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa miembeni timu ya Jamaica imeshinda 3--1 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni na...
View ArticleHuduma kwa Wananchi Mnazi Mmoja Hospital.
WANANCHI wakiwa nje ya mlango kuu wa kuingia hospitali Kuu ya Mnazi mmoja, wakisubiri kupata ruhusa ya kuingia ndani ya jengo hilo kuonana na Madaktari, utaratibu huu umekuwa usumbufu kwa wagonjwa...
View ArticleWanaume 120,000,Wafanyiwa Tohara
Na Kadama Malunde, SimiyuZAIDI ya wanaume 100,000 katika wilaya ya Baridi mkoani Simiyu, wanatarajiwa kutahiriwa ndani ya kipindi cha miaka mitano katika mradi wa tohara kwa wanaume wilayani humo ulio...
View ArticleAtiwa Mbaroni kwa Kumuingilia Ngombe.
Na Kija Elias, RomboMWANAFUNZI wa kidato pili katika shule ya sekondari Kilamvua wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro (jina limehifadhiwa) anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa kosa la kufanya mapenzi na...
View ArticlePolisi Kuukabili Uhalifu Kisayansi.
Na Bashir NkoromoJESHI la Polisi nchini limechukua hatua za kujiimarisha zaidi katika kuukabili uhalifu kisasa zaidi kwa kuamua kuviunganisha vituo vyake vikubwa kwenye mtandao wa mawasiliano katika...
View ArticleSerikali Yalaani, Kuwasaka Wahusika. Yatangaza Dau la10m/=. Yawatowa Hofu...
Na Juma Khamis, Ameir KhalidSERIKALI imetangaza bingo la shingi milioni 10 kwa watu wataotoa taarifa za kupatikana wahalifu waliowamwangia tindi kali raia wawili wa kike wa Uingereza.Waziri wa Habari,...
View ArticleArticle 1
Mdau Kaka nanihii akiwa bizz na kazi zake za kila siku za kubabarisha na kuburudisha kupitia mitandao.
View ArticleAjeruhiwa kwa Kuangukiwa na Ukuta
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Robert mkaazi wa Migombani amejeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na ukuta alipokuwa katika shughuli za ujenzi wa ukuta wa kuzuia maji ya mvua katika eneo la...
View ArticleSherehe za Eid Wete Pemba
Watoto wengi hupenda kusheherekea sikukuu kwa kutumia michezo mbali mbali, ambayo huwavutia na kuwafurahisha, kama wanavyoonekana katika picha, watoto wakiwa katika pembea, kwenye kiwanja cha Mchanga...
View ArticleZanziNews uso kwa uso na Bill Clinton
Mhe Waziri wa ZanziNews akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani na Balozi wa Malaria Bill Clinton alipokuwa nchini kwa ziara ya kikazi katika uwanja wa Amaan
View ArticleMambo ya kuzingatiwa na Kamati za Bunge katika kusimamia fedha na Rasilimali...
Zitto Kabwe Utangulizi Katika madaraka yote ambayo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kwa Bunge kwa mujibu wa ibara ya 63, wajibu wa ‘kuisimamia Serikali’ndio wajibu unaoelezea hasa...
View Article