Maandamano ya CHADEMA yapingwa
Na Khamis AmaniKatiba bora yenye maslahi kwa pande zote mbili za Muungano haitaweza kupatikana kwa maandamano yenye kuashiria uvunjifu wa amani.Diwani wa wadi ya Kwahani wilaya ya mjini Unguja, Machano...
View ArticleZFA Yakabidhi Fedha za Udhamini timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Garand Malt...
aKatibu wa ZFA Taifa Kassim HajiKatibu ZFA Taifa Ndg,Kassim Haji akimkabidhichekiKatikbuwatimu ya KMKM Ndg, Mohammed Ali, , aKatibu wa ZFA Taifa Kassim Haji, akimkabidhi Katibu wa timu,ya Mtende...
View ArticleMahujaji wa Zanzibar Waondoka leo.
Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg. Seif Suleiman akiwa na Maofisa wa PBZ wakiandaa maji na biskuti kwa ajili ya Mahujaji na Wananchi waliowashindikiza Ndugu zao katika uwanja wa...
View ArticleHistoria kuazisha Vyuo Vikuu Zanzibar na Comoro Zinafanana.
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 19 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO...
View ArticleMaderevva kuzingatia Sheria za Barabara
Wanafunzi wa skuli ya kiembesamaki wakivuka barabara katika eneo la alama maalum ya barabara kuruhusu watembea kwa miguu kuvukia eneo hilo. Kuna baadhi ya madereva hukiuka alama za barabara wakati...
View ArticleRambirambi kutoka kwa wana Diaspora Zacadia Canada
Salam za rambi rambi Ijumaa September 19, 2014Jumuia ya wazanzibari wanaoishi Nchi CANADA na waliowahishi katika nchi hiyo (ZACADIA wa Canada na Zanzibar) wanatoa...
View ArticleBuriani Marehemu Khamis Ali Khamis Innaa Llilaahi wainnaa Ilayhi raajiuun
Mkurugenzi Idara ya Diaspora Z’bar afariki Marehemu Khamis Ali Khamis Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Khamis Ali Khamis (pichani),...
View ArticleWaa Waa Uwanja wa kufurahisha watoto Kibirinzi Pemba
PEMBEA ya ndege ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA) PEMBEA ya Farasi ikiwa imeshakamilika...
View ArticleMahojiano na Ahmed Mngazija Muathirika wa madawa ya kulevya
Haya ni MAHOJIANO na Ahmed Mngazija a.k.a (Pongonyongo) jinsi alivyojiingiza bila ya kutegemea katika janga la madawa ya kulevya. Ahmed azungumzia mengi juu ya maisha ya wengi walioathirika na...
View ArticleUnapoihitajia unaikuta hivi!
Pamoja na Wananchi kutakiwa kuweka fedha zao Benki lakini bado kuna Wananchi wana tabia ya kuweka fedha katika mazingira yasio salama, pichani ni baadhi ya fedha zilizoharibika kwa kuwekwa katika...
View ArticleWananchi wa Msumbiji wawashukuru Watanzania
Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria sherehe ya kumpongeza kwa uongozi mzuri Washington DC
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA...
View ArticleZIRPP Monthly Lecture : "The Arab-Israeli Conflict: The Recent Clashes in Gaza"
ZIRPP Monthly LectureThere will be another ZIRPP Monthly Lecture.Speaker: Ms. Sarah BolgerChairperson: Dr. Ahmed GurnahSubject: "The Arab-Israeli Conflict: The Recent Clashes in Gaza"Date & Time:...
View ArticleLigi Kuu Zanzibar Miembeni yatoka sare na Chuoni 2-2
Na Mwajuma JumaLIGI kuu ya Zanzibar iliendelea tena juzi huku sare zikitawala katika viwanja vyote viwili Unguja na Pemba. Katika uwanja wa Amaan kulifanyika mchezo kati ya Miembeni na Chuoni ambao...
View ArticleLigi daraja la kwanza Kimbunga na Muungano Rangers yatoka sare bila ya kufungana
TIMU ya soka ya Kimbunga imeshindwa kukitambia kiwanja chake cha nyumbani kwa kulazimishwa sare isiyokuwa na mabao katika mchezo wa ligi daraja la kwanza Taifa uliochezwa uwanja wa Tazari. Kimbunga...
View ArticleWazanzibari watakiwa kutunza amani iliyopo
WAZANZIBARI wametakiwa kuitunza amani iliyopo ndani ya nchi yao na kuondoa tofauti zao ndogo ndogo za mitazamo na za kimawazo ili kuepusha migongano itakayochafuwa jina zuri la Zanzibar. Wito huo...
View Article