Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Swahilivilla yalonga na Hussein Ali Salum Aka China kuhusu historia ya maisha...

Hussein Ali Salum a.k.a CHINA azungumza kwa ufupi kuhusu Historia ya Maisha yake. Pia aliongea kuhusu mchezo aliokuwa akiupenda wa mpira wa vinyoya yaani Badminton na kutaja baadhi ya wachezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar aja na ‘Paka wa Binti Hatibu’

1.    Mwandishi Yussuf Shoka Hamad (kulia) akiwa na Professa Said Ahmed Muhamed ali[omtembelea nyumbani kwake Limbani Wete hivi karibuni.Na: Ali Othman AliMwandishi anayechipukia kwa kasi katika tasnia...

View Article


Dk.Migiro:Mjadala wa katiba halali

Na Mwantanga AmeSERIKALI imesema hakuna mgogoro wa kisiasa na kisheria Tanzania na haiko tayari kuruhusu kundi lolote kuvunja sheria za nchi.Tamko hilo limetolewa mjini Dodoma na Waziri wa Katiba na...

View Article

Ofisi za ACT zavunjwa

Na Joseph Ngilisho, ArushaOFISI za Chama Cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) mkoani Arusha,zimevamiwa na watu wasiojulikana  usiku wa kuamkia jana na kuzuvunja, kisha kuiba fedha taslimu shilingi 280,000 na...

View Article

Balozi Sefue awachimba mkwara watumishi wanaoshabikia siasa

Na Amina Omari, TangaKATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watendaji wa utumishi wa umma, kutojihusisha na ushabiki wa kisiasa ili kutekeleza majukumu yáo kwa ufanisi.Kauli hiyo ameitoa...

View Article


Trafiki agongwa na kufa

Na Mwandishi wetu ASKARI wa usalama barabarani, PW 2806 Koplo Riziki, amefariki dunia baada ya kugongwa na gari katika maeneo ya Mbagala rangi tatu. Askari huyo aligongwa akiwa katika jitihada za...

View Article

Dk Shein : Watanzania walioko nje wana nafasi kuchangia maendeleo ya taifa

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                             18 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wekundu wa Msimbazi ( Simba Sports) wakizidi kujifua Zenj kujiandaa na mechi...

 Mchezaji aliyeibua mgogoro kwa vilabu vya Simba na Yanga Emmanuel Okwi akiwapa maelekezo wenzako wakati wa mazoezi huku kocha mkuu wa klabu hiyo Patrick Phiri mwenye kapelo akimsikiliza.Wachezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafunzo ya jinsi ya kukabiliana na maafa yaendelea Pemba

  MKUFUNZI wa maafa kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Ali, akieleza jambo kwa wananchi wa Shehia ya Msingini (hawapo pichani) juu ya kukabiliana na Maafa pale yatakapotokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafunzo ya majaji na mahakimu wa Mahakama ya Kadhi Pemba

NAIBU mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar, Yesaya Kayange (shati nyekundu)akiwasilisha mada, katika mafunzo ya Majaji na Mahakimu wa mahakama ya Kadhi, yaliyoandaliwa na ZAJOA yaliyofanyika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezo wa Ligi Kuu Mafunzo na Mtende.

Kikosi cha timu ya Mtende kinachoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt, kilichokubali kipigo cha bao moja dhidi ya timu ya Mafunzo katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.Kikosi cha timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Paka wa Binti Hatibu na Hadihi nyengine

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kazi ya kumalizia kuandika Katiba mpya ikiendelea

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum Mhe. Andrew Chenge (mjumbe) akiongoza kikao cha kamati hiyo jana ambapo kamati hiyo inamalizia uandishi wa Katiba pendekeze inayotarajiwa kuwasilishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi wa josho la Ng'ombe Mjimbini, Pemba

  MAFUNDI wakiwa katika hatua za awali za ujenzi wa 'Josho' la Ng'ombe, huko Mjimbini Wilaya ya Mkoani Pemba, unaosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kama wanavyoonekana pichani. (Picha na Asha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaushirika wa kikundi cha 'Subira Njema', Changaweni wakiwajibika

WANAUSHIRIKA wa kikundi cha 'Subira njema' kilichopo Changaweni, Wilaya ya Mkoani wakitengeneza sabuni kwa kutumia vifaa vya kienyeji, ambavyo vimekuwa vikiwasababishia madhara ya ngozi kutokana baadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete awasili Washington DC, Marekani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa...

View Article

Serikali yashauriwa kuondoa muhali kumaliza dawa za kulevya

Na Khamis AmaniSerikali imeshauriwa kuondoa muhali katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazozikabili jamii, ili ziishi kwa usalama na amani na ziweze kufanikisha maendeleo ya familia zao.Sheha wa...

View Article


‘Waajiri wazalendo ndio chanzo cha migogoro kazini’

Na Kauthar AbdallaCHANZO kikubwa cha migogoro kati ya waajiri na waajiriwa katika sekta binafsi ni ukorofi kwa baadhi ya wawekezaji wazalendo.Imeonekana kuwa matatizo mengi yanayotokea katika sehemu za...

View Article

Fuoni Kibondeni wahamasishwa kutunza mazingira

Na Khamisuu AbdallahNaibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Islam Seif, amesema miongoni mwa mikakati iliyowekwa na ofisi hiyo katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ni kupanda...

View Article

Jiji la Arusha kuwa na hospitali yake

Na Mahmoud AhmadHalmashauri ya jiji la Arusha ipo mbioni kukifanya kituo cha afya cha Lovolosi kuwa hospitali ya jiji kwa kupanua majengo yake na kuweka vifaa tiba vya kisasa lengo likiwa kuwapatia...

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>