Ligi Kuu Miembeni na Chuoni Amaan zimetoka sare ya 2--2
Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Salum Seif, akiwapita mabeki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan ti mu hizo zimetoka sare ya 2--2Golikipa wa timu ya...
View ArticleMkurugenzi mtendaji Benki ya NBC kuonana na Rais DK.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Ms Mzimga Melu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na...
View ArticleLigi Daraja la Kwanza Taifa Kijichi na Black Sailors Mao.
Benchi la Viongozi na wachezaji wa timu ya Kijichi wakiwa na mshangao baada timu yao kukubali kufungwa na timu ya Black Sailors Mchezaji wa timu ya Black Sailors akimpita mchezaji wa timu...
View ArticleWananchi waaswa wanaponunua ardhi wahakikishe ziwe zimesajiliwa kwa mujibu wa...
Na Mwajuma Juma TABIA inayofanywa na baadhi ya watu kuuza ardhi kwa kutumia vielelezo visivyo sahihi imekuwa ikiipa wakati mgumu Serikali kwa kutumia muda mwingi wa kutatua migogoro ya ardhi. Kauli...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Rais wa Zanzibar na...
View ArticleInnaa Lillaahi Wainnnaa ilayhi Raaji'uun : Mwanasheria Mkuu mstaafu wa...
"Hakika sote ni wa Allaah na marejeo yetu ni kwake"Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Iddi Pandu Hassan ametangulia mbele ya haki Allaah Subhaanahu Wata'ala ampokee kiumbe chake na amsamehe makosa...
View ArticleBunge larekebisha kanuni kuwaruhusu wajumbe walio nje ya nchi Kupiga kura
Benedict Liwenga, Dodoma.BUNGE Maalum la Katiba limepitisha marekebisho ya Kanuni ili kuliwezesha kufikia hatua ya mwisho ya upigaji kura kuanzia tarehe 29 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba mwaka huu.Hatua...
View ArticleMaziko ya mwanasheria mkuu mstaafu Iddi Pandu Hassan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nnne kulia) akiwepo na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume wakijumuika na waisalmu katika kumswalia...
View ArticleZanzibar Charitable Society yatoa msaada wa vifaa kwa jeshi la Polisi Pemba
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazurui kushoto akimkabidhi seti za Kompyuta kaimu kamanda wa Polisi Kusini Pemba, ACP Makaran Khamis huko katika ofisi za jeshi hilo...
View ArticleJumuiya ya Pegao yafanya mafunzo ya ushawishi na utetezi wa kijinsia kwa...
MWENYEKITI wa jumuiya ya Mazingira na Utetezi wa Kijinsia Kisiwani Pemba (PEGAO), Mauwa Makame Rajab akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wanachama wa jumuiya hiyo, juu ya Ushawishi na Utetezi wa...
View ArticleJumuiya ya Istiqaamah for Development yatoa msaada kwa waislamu Chake Pemba
Baadhi ya Sadaka iliyotolewa na Jumuiya ya Istiqaama for Development kwa kushirikiana na ZCF, Tawi la kusini pemba ,kwa Viongozi wa Dini ya Kiislamu Pemba.Baadhi ya Viongozi wa Dini, Masheha...
View ArticleLigi Kuu Kipanga na Zimamoto Amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis akiwapita mabeki wa timu ya Kipanga katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1Mchezaji wa timu ya...
View ArticleDk.. Shein:Tutaendelea Kuhakikisha Malengo ya Elimu katika Mipango Yote ya...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 23 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA...
View ArticleWanafunzi 15,647 wafeli mitihani
Na Mwanajuma MmangaWANAFUNZI 7,503 wa darasa la saba kati ya wanafunzi 10,823 waliofanya mitihani ya majaribio katika baadhi ya skuli za serikali za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wamefeli ambao ni...
View ArticleNIDA yaanza kugawa vitambulisho kwa wananchi
Na Juma KhamisMAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ofisi ya Zanzibar, imeanza zoezi la utoaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wa wilaya ya kaskazini ‘A’ Unguja.Akizungumza na wanahabari...
View ArticleUwanja wa ndege Pemba hauna mashine ya ukaguzi
Na Amina Mmanga, PembaUONGOZI wa uwanja wa ndege Pemba, umeziomba mamlaka husika kuwapatia mashine maalumu za ukaguzi wa mizigo na abiria, ili kuepusha mizigo ya abiria kupekuliwa kwa mikono, kitendo...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE IN DIFFERENT ACTIVITIES IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Senator Chris Coons of Delaware who paid a courtesy call on him in New York in the sidelines of the UN General Assembly President Jakaya Mrisho Kikwete invites...
View Article