Wadau wa Michezo Zanzibar Wapitia Rasimu ya Michezo 2014
Wadau wa Vyama vya michezo na vilabu mbalimbali Zanzibar wakipitia Rasimu ya Michezo ya mwaka 2014 kwa kuijadili na kuifanyia mapitio ile ya Sera ya Taifa ya Michezo ya mwaka 2007, ambayo inaonekana...
View ArticleMsikiti wa Sogea unahitaji msaada wako
Msikiti wa Sogea uliopo jirani na Branchi ya Sogea unawaomba Waislamu popote mlipo katika ulimwengu huu wa Arrahmaan kuungana nao katika kukimaliza kisima cha maji kilichopo nje ya Msikiti ambacho...
View ArticleWazanzibari 500,000 kupata vitambulisho
Na Rahma SuleimanMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imeanza kutoa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wa Zanzibar ambapo zaidi ya vitambulisho 500,000 vinatarajiwa kutolewa.Mkurugenzi wa Nida...
View ArticleKATIBA MPYA: Bunge kutuma ofisa Saudia kusimamia kura
Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, MwananchiDodoma. Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge...
View ArticleLigi Kuu Mafunzo na Malindi Uwanja wa Amaan.
Benchi la wachezaji wa hakiba wa timu ya Malindi wakiwa na majonzi baada timu yao kutanguliwa kufungwa na timu ya Mafunzo ikiwa nyuma kwa mabao 2--0. wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo huo....
View ArticleBunge labadi kanuni Rasimu ya katiba inayopendekezwa Sept.24
Na Benedict Liwenga, Dodoma. BUNGE Maalum la Katiba limepitisha marekebisho ya kanuni ili kuliwezesha kufikia hatua ya mwisho ya upigaji kura kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba 2 mwaka huu. Hatua hiyo...
View ArticleMatale hawana kituo cha afya
Na Hanifa Salim, PembaWANANCHI wa shehia ya Matale wilaya ya Chake Chake mkoa wa kusini Pemba, hawana kituo cha afya kwa miaka mingi sasa.Walisema wamekuwa wakipata usumbufu wa kuitafuta huduma...
View ArticleAmuua mkewe kwa wivu
Na Fatina Mathias, DodomaWATU wawili wamefariki dunia wilayani Mpwapwa mkoani hapa kwa kupigwa katika matukio mawili tofauti.Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, David...
View ArticleNBC yaahidi kusaidia maendeleo
Na Rajab Mkasaba, IkuluUONGOZI wa Benki wa Taifa ya Biashara (NBC) umeeleza kuvutiwa kwake na hatua za maendeleo ya kiuchumi zilizofikiwa Zanzibar na kuahidi kuendelea kuziunga mkono ili ziweze...
View ArticleSiku ya Usafiri wa Baharini Duniani
Mfanyakazi wa Kampuni ya JAK, Bi.Aziza Khamis akitowa maelezo kuhusiana na matumizi ya vifaa vya uokoaji vinavyotumika katika boti zao zinazotowa huduma ya usafiri kwa abiria wanaotumia boti zao kati...
View ArticleLigi Kuu KMKM na Mtende Rangers Amaan. KMKM imeshinda 2--1
Beki wa timu ya Mtende Rangers, Suleiman Juma akiokoa mpira galini kwake huku mshambuliaji wa timu ya KMKM Nassor Ali.wakati wa mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan timu ya KMKM imeshinda...
View ArticleNakala ya Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge maalum la Katiba
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Jumla ya ibara 274 katika Rasimu...
View ArticleLigi Daraja la Pili Taifa Ujamaa na Bridge Uwanja wa Mao Ujamaa imeshinda 2--1
Mchezaji wa tim u ya Ujamaa akimpita beki wa timu ya Bridge, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa uliofanyika uwanja wa mao.timu Ujamaa imeshinda 2--1. Mchezaji wa timu ya Bridge akimpita beki...
View ArticleMinibus yasababisha ajali kwa kugonga gari mbili na kujeruhi wanafunzi
Wananchi katika eneo la barabara ya amani wakiangalia gari iliyogongwa ikiwa imeegeshwa pembeni ya barabara hiyo na kusababisha kujeruhi wanafunzi wakiwa kando ya barabara hiyo wakipita baada ya...
View ArticleKamishen ya Utalii Zanzibar Kuadhimisha Siku ya Utalii
Na Mwashungi. TwahirKamisheni ya Utalii Zanzibar inatarajia kuadhimisha siku ya Utalii duniani kuanzia tarehe 26 na kufikia kilele chake tarehe 28 katika kijiji cha Nungwi wilaya ya Kaskazini...
View ArticleBalozi Seif azungumza na Waandishi Dodoma.
Balozi Seif akiwasomea waandishi wa Habari moja kati ya makala za vitisho zinazoandikwa katika mitandao ya Kijamii dhidi ya wajumbe wa Kamati za Bunge Maalum la Katiba hasa wanaotoka upande wa...
View ArticleHifadhi ya Msitu wa Jozani yaundiwa "Halmashauri ' Ili kukabiliana na...
Na Faki Mjaka- Maelezo.Idara ya Misitu Zanzibar imeanzisha “Halmashauri ya Wanajamii wanaoizunguka Hifadhi ya Msitu wa Jonzani” ikiwa ni Mkakati wa kukabiliana na Uharibifu unaoendelea kufanywa katika...
View Article