Msaada Msikiti wa Kibweni kwa Raza.
Mskiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh: Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na mskiti...
View ArticleHafla ya Kuwaaga Wastaaf wa Wizara ya Elimu Pemba.
Mmoja wa Wastaafu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Birehema Said Shamte, akisoma Risala ya Wastaafu Wenzake kwa Mgeni Rasmi ambae alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Mwanajuma Majid...
View ArticleWaziri Aboud awafariji waathirika wa maafa ya upepo mkali Mkoani
Waziri wa nchi Afisi ya Makmo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Moh’d Aboud, akimkabidhi mchango kutoka Idara ya Maafa, Muathirika mmoja katika Wilaya ya Mkoani Pemba. Baadhi ya Waathirika wa Maafa wa...
View ArticleSkuli yafungwa kwa kugombaniwa jina
Agizo la Rais lapuuzwa.Balozi Seif atoa siku mbili kuondosha sintofahamu Na Othman Khamis Ame OMPR Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekasirishwa na kitendo cha kufungwa kwa milango ya skuli ya Msingi...
View ArticleWaandishi wa habari washiriki mafunzo ya uandishi wa habari za gesi, mafuta...
MCHAMBUZI wa sera na uongozi kutoka taasisi ya ‘Revenue watch Institute ‘RWI’ ya Marekani Marie Lintzer akiwasilisha mada juu usisitizaji wa uwazi kwa makampuni ya uchimbaji mafuta, gesi na madini...
View ArticleZantel: Huduma ya pesa muhimu kwa maendeleo
UONGOZI wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, umesema hatua ya kampuni hiyo kushirikiana na kampuni nyingine za Tigo Tanzania na Airtel kuanzisha huduma mpya itakayowezesha wateja kutumiana pesa ni...
View ArticleMsikiti wa Kibweni unahitaji mchango wako
Msikiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh: Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na msikiti...
View ArticleMchango wa Kijana Mwanaid aliyepata Ajali ya Moto
Kiasi kilichopatikana kwa Wadau waliochangia kupitia Mtandao wa TigoPesa na Mpesa, zikiwa zimewasilisha Bank ya PBZ. Ikiwa ni hatua ya kukusanya michango kwa Wananchi kuweza kumsaidia Kijana huyo...
View ArticleVijana Walimu wa Madrasa na wa Vyama vya Siasa Zanzibar Washiriki Mafunzo ya...
Afisa wa Miradi wa ZAYEDESA Ndg. Mgoli Lucians akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kuaza kwa Vijana washiriki wa mafunzo hayo kutoka Vyama vya Siasa Zanzibar na Waalim wa Madrasa Zanzibar,...
View ArticleAli Issa hatunaye tena
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Ali Issa Simai Kapten (katika picha ndogo) likipelekwa mazikoni leoNa Salum Vuai, ZANZIBARMCHEZAJI mstaafu wa timu ya soka ya KMKM Ali Issa Simai, amefariki dunia...
View ArticleKutoka Barazala Wajumbe Wakichangia Bajeti ya Ustawi wa Jamii Uwezeshaji...
Makatibu wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Michango iliokuwa ikiwasilishwa na Wajumbe wa Baraza wakichangia Wizara ya Ustawi waJamii katika kikao cha asunuhi.Wheshimiwa Mawaziri wakifuatilia...
View ArticleKwa kutotimia idadi ya Wajumbe: Kikao cha Baraza la Wawakilishi chaahirishwa
Na Mwandishi wetuKikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), kimeahirishwa kwa mara ya pili kutokana na idadi ya wajumbe kutotimia kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa chombo hicho cha kutunga...
View ArticleDkt Shein Amtumia Salamu za Pongezi Rais Mpya wa Misri.
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 11 Juni,...
View ArticleWahisani wa Maendeleo kutoka Marekani Wazindua Miongozo ya Kupambana na...
Na Ramadhani Ali Maelezo Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wahisani wa Maendeleo kutoka Marekani na Shirika la Afya la Kimataifa la Jhpiego imezindua miongozo miwili ya Kitaifa...
View ArticleZANTEL CEO Vists Tanzania Standard NewsPaper.
The designer of Pre-Press department of the Government Newspapers (TSN), Mr. Patrick Eusebio (R) briefing the process of newspapers preparation to ZANTEL CEO, Mr. Pratap Ghose during his visit at TSN...
View ArticleArticle 23
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Korea (KOICA) kwa kushirikiana na Shirika la JAICA la Japan na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wameandaa maonyesho ya picha...
View ArticleKutoka Baraza la Wawakilishi Kupitisha Bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Ali Abdalla akifuatilia michango ya kupitisha Vifungu vya Matumizi vyaWizara yaAfyaZanzibar.Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Juma Duni akijibu swali la...
View ArticleNHC yavutia wawekezaji katika maonyesho ya Nyumba ya Dubai
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia katika Kongamano hilo wakati wa Ufunguzi wake Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania Ndg. Nehemia...
View Article