Bajeti ya Wizara ya Afya ya “kwama”
Bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikuwa inajadiliwa katika Mkutano wa bajeti unaondelea imerejeshwa tena katika Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii , kwa ajili ya marekebisho...
View ArticleKesi 771 za ardhi zaripotiwa
Na Shemsia Khamis, PembaKESI za migogoro ya ardhi 771 zimeripotiwa katika mahakama ya ardhi mkoa wa kusini Pemba kuanzia mwaka 2006 hadi 2013.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mdhamini...
View ArticleAG:Muungano ni halali licha ya hati kutoridhiwa BLM
Na Husna MohammedSERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema licha ya kwamba hati ya Muungano haikuridhiwa na Baraza la Mapinduzi, lakini muungano huo ni halali.Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud...
View ArticleBajeti ya Wizara ya Afya yakwama
Na Himid Choko, BLWBajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikuwa inajadiliwa katika Mkutano wa bajeti unaondelea imerejeshwa tena katika Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii , kwa ajili ya...
View ArticleMkutano wa Tume na Wadau wa Uchaguzi Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi-Zanzibar (ZEC),Salim Kassim Ali, akitowa maelezo juu Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi na Tume juu ya Ugawaji wa Majimbo Zanzibar. Wanasiasa wa Vyama mbali mbali...
View ArticleUchunguzi wa Majina, Majimbo ni matakwa ya Kikatiba
Na Bakar Mussa, Pemba Uchunguzi wa Majina , Idadi wa Watu, majina na Mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi Zanzibar, unaotarajiwa kufanywa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ni matakwa ya Kikatiba ambayo yalianza...
View ArticleBalozi Seif Atembelea Mashina ya CCM Wilaya ya Magharibi Unguja.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Tifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Shina la CCM Sharifu Msa akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa chama hicho ndani ya...
View ArticleMahafali ya 21 Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari Lumumba Zenj.
Wanafunzi wa Kidatu cha Sita Skuli ya Lumbu Unguja wakionesha mchezo wa kugombea mali wakati Mzazi akiwa amaumwa Ndugu na Jamaa hugombea mali.Wanafunzi hao wakiwa katika mahafali yao ya 21, ya kumaliza...
View ArticleMaalim Seif Azindua Jengo la JUDO Pemba
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk wakati wa uzinduzi huo.Makamu wa Kwanza wa Rais...
View ArticleKilimo hatarini kuporomoka
Na Mwashamba JumaSEKTA ya kilimo imetajwa kuwa hatarini kuangamia kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi yaliyosababisha maeneo mengi ya kilimo kuvamiwa na maji ya bahari,jambo ambalo...
View ArticleWaziri Shamuhuna Ahudhuria Mahafali ya 21 ya Skuli ya Sekondari Lumumba...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna, akiwahutubia na kutowa nasaha kwa Wanafunzi waliomaliza Elimu yao ya Sekondari wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Lumumba Zanzibar,...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal mgeni Rasmni kwenye hafla ya kuchangia Fedha kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt...
View ArticleBalozi Seif akagua maendeleo ya uimarishaji wa mashamba ya Mikarafuu ya serikali
Na Othman Khamis Ame, OMPR Wizara ya Kilimo na Mali asili Zanzibar imeshauriwa kuzingatia utaratibu muwafaka wa kukodisha mashamba ya Mikarafuu ya Serikali yaliyo chini ya Wizara hiyio kwa kutumia...
View ArticleHutuba ya Rais Kikwete katika Ufunguzi wa Huduma ya Ucghunguzi wa Saratani ya...
HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI NA YA MATITI MKOANI TABORA, TAREHE 7 JUNI,...
View ArticleRais Kikwete aziduwa Huduma za Uchunguzi wa Saratani Tabora
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa akizindua wa huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo.Rais...
View ArticleMaalim Seif Azindua Mkutano wa Kamati Tendaji Pemba
. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua kamati tendaji za Wilaya za Pemba katika ofisi za CUF Wilaya ya Chake ChakeMwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bi. Raisa Abdallah...
View ArticleZantel Supports Boxing Federation of Tanzania
Zantel Tanzania has handed over a support of 10 million Tanzania shillings to the Boxing Federation of Tanzania (BFT) for the development of boxing in the country. Handing the cheque to the Minister of...
View Article