zoezi la kukabidhi vitambulisho vya Taifa laendelea Wilaya ya Magharibi
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) ITAFANYA ZOEZI LA KUWAKABIDHI VITAMBULISHO VYAO, WANANCHI WOTE AMBAO WAMEJIANDIKISHA NA VITAMBULISHO VYAO VIKO TAYARI KWA UTARATIBU UFUATAO:-WILAYA YA MAGHARIB...
View ArticleJiji la Sundsvall lililoanzisha mahusiano na wadi za Makunduchi
Hili ni jiji la Sundsvall nchini Sweden. Mji huu unaoendeshwa na manispaa ya Sundsvall umeanzisha mahusiano na wadi za Makunduchi yenye lengo la kuiweka Makunduchi kwenye ramani ya dunia kwa upande wa...
View ArticleWajumbe wa Baraza la wawakilishi watembelea Ofisi za Shirika la Magazeti Pemba
MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Ofisi ya Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo, Zanzibar leo Jumapili na Zasport, Bakari Musa Juma akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Mifugo Habari...
View ArticleMaalim Seif ziarani Uturuki
Na Hassan Hamad OMKR Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya siku tatu ya kiserikali. Ziara hiyo inafuatia mwaliko rasmi wa serikali ya...
View ArticleNdagoni watengeneza tuta kuzuia maji ya chumvi
WANANCHI wa shehia ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake, wakitengeneza tuta la kuzuwia maji ya Chumvi lenye urefu wa mita 200, kwa ajili ya kuzuwia maji hayo yasiingie kwenye mashamba yao ya mpunga,...
View ArticleDk Shein afungua mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa...
View ArticleDk Shein : Serikali itahakikisha sekta ya biashara inaimarika ili kuleta...
Ali Issa na Mariam Himid-Maelezo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha sekta ya...
View ArticleBarabara Dar Kuendelea Kuimarishwa.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO Dar.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Mecki Sadiki amewataka wahandisi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya barabara katika jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawasimamia...
View ArticleUjumbe wa wadi za Makunduchi watembelea maktaba ya Manispaa ya Sundsvall...
Maktaba sehemu ya watoto imewekwa michezo mingi ya kitoto kama jahazi hii ndogo. Watoto wakijisikia wanataka kucheza hucheza humo humo ndani ya Maktaba Bi Christin akitoa maelezo ya kina juu ya...
View ArticleBarabara Dar Kuendelea Kuimarishwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri...
View ArticleHarakati katika mtaa wa Mchangani Zenj.
Wananchi wakiwa katika harakati za kupata huduma za mavazi katika mtaa wa mchangani wakati wa asubuhi wakiwa katika harakati za maandalizi ya kusherehekea Krismas na mwaka mpya.
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleHashim Salum Ajitokeza ZFA Wilaya ya Mjini Kuchukua Fomu Kugombea.
Mchezaji wa zamani wa timu ya Miembeni na Taifa ya Zanzibar Hashim Salum, ajitokeza kuchukua Fomu kugombea Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Taifa Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa na Fomu yake baada ya kuchukua...
View ArticleMatumizi Bora ya Barabara.
Matumizi ya taa za Barabara katika makutano ya barabara ya Michenzani na kwa Khamis machungwa yakitoa huduma ya kuongoza magari katika barabara hiyo. baada ya kuwekwa kwa sasa karibu miezi miwili baada...
View ArticleDW Akademie Yatoa Mafunzo Kwa Wafanyakazi wa ZBC
Mkufunzi wa Mafunzo ya Utayarishaji wa vipindi vya Mitaani kutoka DW AkadeMr. Charles Achaye-Odong, akitowa shukrani zake kwa washiriki wa mafunzo hayo kushiriki kwa ukamilifu na kuandaa vipindi vya...
View ArticleBAN KI MOON ATAKA USHIRIKIANO ZAIDI BAINA YA UN NA AU
Na MwandishiMaalum, New YorkKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, amesema,ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika operesheni za ulinzi wa Amani umekuwa wa mafanikio...
View Article