Picha na matukio kutoka Pemba
KATIKA Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC, John Mkawawa, akizungumza na waandishi wa habari kisiwani Pemba, juu ya uimarishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknologia mpya...
View ArticleZakaatul Fitr - Umeshatekeleza wajibu wako?
Abu AmmaarZakatul Fitri , ambayo pia hujulikana kama Sadaqatul Fitri , kilugha inatokana na neno la kiarabu fitri na maana yake ni kula au futari kama inavyojulikana.Katika sheria ni ile sadaqa...
View ArticleDk Shein ashiriki futari iliyoandaliwa na Makamo wa Rais Dk Bilal
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akijumuika na Waislamu na Viongozi mbali mbali katika futari iliyoandaliwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleBaadhi ya makosa yanayotokea wakati wa kutoa Zakaatul Fitr
Abu AmmaarBaadhi ya makosa yanayotokea wakati wa kutoa Zakaatul Fitr1 Kuitoa wakati wa Sala ya Idd, siku ya Idd yenyewe.Zakaatul Firtr hupaswa kutolewa mapema ili iwafikie walengwa waliokusudiwa....
View ArticleJK:Hatutapigana na Malawi
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kamwe Tanzania haitatumia nguvu kumaliza mvutano kati yake na Malawi kuhusu mpaka kati ya nchi hizo.Aidha, Rais...
View ArticleImani za kishirikina zakamwisha miradi ya maji Chemba
Na Fatina Mathias,ChembaKATIKA hali isiyo ya kawaida, imani za kishirikiana katika baadhi ya maeneo ya halmashauri ya Chemba mkoani Dodoma, zimetajwa kuwa ni chanzo cha kukwamisha utekelezaji miradi ya...
View ArticleKamishna wa Polisi Z’bar, DCI waburuzwa mahakamani
Na Mwandishi wetuKAMISHNA wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar (DCI), Salum Msangi, wamefunguliwa kesi mahakama kuu ya Zanzibar, baada ya watu wanane...
View ArticleFedha za TASAF si za anasa, kaya maskini zaambiwa
Na Haji Nassor, PembaFAMILIA maskini kisiwani Pemba, ambazo zinawezeshwa kifedha na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) awamu ya tatu, zimekumbushwa kuwa fedha wanazopatiwa sio kwa ajili ya...
View ArticleDk. Karume ahimiza walimu, wazazi kushirikiana
Na Bakar Mussa, PembaRAIS mstaafu wa awamu ya sita, Alhaj Dk. Aman Abeid Karume, amewataka wazazi kuongeza ushirikiano na walimu wa madrasa ili kuwaendeleza watoto katika kuhifadhi na kusoma...
View ArticleKesi mauaji ya Donge yashindwa kusikilizwa
Na Khamis AmaniKWA mara nyengine tena, kijana Abdallah Mohammed Kangoma (38) mkaazi wa Donge Mtambile wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, aliyeshitakiwa kwa kumuua mkewe, Msikitu Juma Ali anaendelea kusota...
View ArticleMkuya:Afrika inashikilia hatma ya dunia
Na Mahmoud Ahmad, ArushaWAZIRI wa Fedha, Sada Mkuya,amezitaka nchi za Afrika kutambua kwamba bara lao ndilo linalotupiwa macho na dunia kuwa sehemu yenye uhakika wa maisha yao ya siku za usoni.Aidha...
View ArticleDadi akerwa na uchafu Mtemani
Na Masanja Mabula,PembaSERIKALI ya mkoa wa kaskazini Pemba, imeelezea kusikitishwa na uchakavu wa makaro katika nyumba za maendeleo Mtemani wilaya ya Wete na kuagiza taasisi husika kuyafukia ili...
View ArticleTanzania mwenyeji mkutano mabunge Madola
Na Joseph Ngilisho,ArushaTANZANIA itakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa 45 wa Umoja wa Wabunge wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola,kanda ya Afrika (CPA), utakaofanyika Julai 24 hadi 26 mwaka huu,jiji...
View ArticleSita wafa ajilini
Na Said Abdulrahman, PembaWATU sita wamefariki dunia katika matukio mbali mbali za ajali yaliyotokea mkoa wa kaskazini Pemba, kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu.Akizungumza na mwandishi wa habari...
View ArticleSakata la wanafunzi kufundishwa bibilia
Wizara ya Elimu yachukua hatuaUchunguzi wabaini ukweli wa madai hayoNa Khamisuu AbdallaSIKU mbili tu baada ya gazeti hili kuchapisha habari kuhusu wanafunzi kusomeshwa bibilia na kutakiwa kutokwenda...
View ArticleMandhari ya mji wa Beijing
MJI wa Beijing ukioneka pichani ukiwa umepamba na msafara wa magari wakati wa jioni leo kama unavyooonekani pichani. WAANDISHI wa Habari na Maofisa Habari kutoka Nchi 11 za Afrika wakiwa nje ya...
View ArticleRais Kikwete afutarisha Wete Pemba
Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba wakifutari pamoja hapo ikulu ya Wete futari iliyoandaliwa naRais wa Jamuhuri ya Mauungano wa Tanzania Dr. Jakaya...
View ArticleSMZ yazuia kiwanja cha watoto kutumika Sikukuu Idd El Fitr
Na Rahma Suleiman Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kiwanja cha kufurahisha watoto kilichopo eneo la Kariakoo, mjini Unguja, hakitatumika katika Sikukuu ya Idd El Fitr, mwaka huu, kutokana...
View ArticleDk Shein azindua mradi wa SAEMAUL UDONG Cheju
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein akipata maelezo kutoka Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd,Juma Ali Juma wakati alipotembelea kituo cha...
View ArticleDk Shein aagiza Bonde la Cheju libaki kuwa la kilimo tu
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 24 Julai, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
View Article