Dk Shein akutana na Mwakili wa Taasisi ya Opportunity education foundation ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali kutoka Nchni Marekani (Opportunity Education Foundation) Bw.Joe...
View ArticleSerikali yashauriwa kuweka kamera za CCTV Idara ya Nyaraka
Na Miza Kona -Maelezo ZanzibarSerikali ya Mapinduzi imeshauriwa kuimarisha hali ya usalama wa eneo la Nyaraka kwa kuweka kamera za kuangaza usalama kwa ukaribu CCTV ili kuepusha wizi usitokee katika...
View ArticleCCM Zanzibar iache kujigeuza popo
Na Salim Said SalimKAULI za baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wanaotoka CCM zinanishangaza kwa vile huwa zinabadilika kama lilivyo umbile la popo, leo ndege (anaruka) na kesho mnyama...
View ArticleZIRPP Monthly Lecture :"Rapid Growth of Urbanization of Zanzibar: Its...
Chairperson: Dr. Ahmed Gurnah, ZIRPP Deputy Executive DirectorSpeaker: Dr. Muhammad Juma; Director of Urban and Rural PlanningSubject: "Rapid Growth of Urbanization of Zanzibar: Its Challenges and...
View ArticleMdau wa ZanziNews na ushauri wake
Asalaam Alaykum kaka Othman!Ni matarajio yangu kuwa umzima na waendelea kulisukuma gurudumu la utoaji habari kama kawaida kupitia katika nyanja zako kiilivyo na bado hujawa "mzigo kwa taifa".Wajuwa...
View ArticleChadema chalaumu mwenendo wa Kampeni uchaguzi mdogo Kiembesamaki
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KIEMBESAMAKI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA CHADEMA kimezindua kampeni zake tarehe 21/01/2014 katika...
View ArticleAjali Barabara ya Kiembesamaki lakini Salama hakuna Mtu aliyejeruhiwa.
Magari haya yakiwa katika eneo la jali hiyo mazizini ZRB, yakiwa katika mtaro wamaji machafu baada ya kupoteza muelekeo na kupata ajali hiyo. Wananchi wakiangalia Magari yaliokuwa yakifutana katika...
View ArticleCCM waendelea kumnadi mgombea wake Mbweni
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Mwangi Rajabu Kundya akimnadi mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mahmoud Thabit Kombo katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki zilizofanyika Mbweni...
View ArticleJK aagiza maghala ya chakula yafunguliwe kusaidia waathirika wa mafuriko
Na Farida Msengwa,MagoleRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza bohari ya chakula nchini kufungua maghala yake ili chakuka likichomo kipelekwe kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika tarafa ya Magole mkoani...
View ArticleMkutano wa Kampeni Chama cha ADC Kisimambaazi Kiembesamaki
Mwenyekiti wa Chama cha ADC Mhe. Said Miraj akimnadi Mgombea wake kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakati wa mkutano wao wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika mwazoni...
View ArticleKilo 231,049 za samaki zavuliwa Wete
Na Masanja Mabula,PembaKILO 231,049 za samaki zenye thamani ya shilingi 549, 419,000, wamevuliwa katika kipindi cha mwezi Januari mwaka huu wilaya ya Wete kisiwani Pemba.Afisa Uvuvi wilaya hiyo, Vuai...
View ArticleWaziri Mkuu wa Filamd awasili Zanzibar kwa Ziara ya Siku Moja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Filand Bwa. Jyrki Katainen, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ziara ya siku moja...
View ArticleKamati yaanisha madudu Idara ya nyara Yahoji uwezo wa baadhi ya Majaji Yataka...
Kauthar Abdalla na Salum Simba, MUMWAZIRI wa Katiba na Sheria, Mhe. Aboubakary Khamis Bakary, amesema kumekuwa na migogoro mingi misikitini inayosababishwa na michango inayoingia kutoka vyanzo mbali...
View ArticleWananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Wakiangalia Majina Yao.
Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiangalia majina yao katika kituo cha kupigia katika skuli ya Kiembesamaki wakati wa zoezi la Uchanguzi Mdogo wa Mwakilishi wajuwe kituo chao cha kupigia kura, ili...
View ArticleWaziri Ferej Afanya Uteuzi wa Kamati ya Kitaalam ya Dawa za Kulevya Zanzibar.
Na Mwandishi Wetu.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Ferej, amefanya Uteuzi kwa mujibu wa Kifungu cha 4A(2) cha Sheria Namba 12 ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za...
View ArticleWizara ya Kilimo na Maliasili Kuwalipa Wakulima Madeni Yao.
Na Miza Kona -Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuipatia fedha Wizara ya Kilimo na Maliasili kwa ajili ya kulipa deni wanalodaiwa na wakulima wa mbegu za mpunga...
View ArticleMwili wa Marehe Shekh. Athuman Mgee Wawasili Musoma kwa Mazishi
Ndege iliouchukuwa mwili wa marehemu Shekh. Athuman Mugee, ikiwasili kiwanja cha ndege cha Musoma leo mchana, tayari kwa mazishi yake. Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Musoma wakiwa katika...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Tamko la Mzee John Samwel Malecela.
Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa ambayo mmekuwa mkiifanya hasa kuhakikisha watanzania...
View ArticleJumuiya ya Istiqaamah yatowa msaada kwa waathirika wa Micheweni
Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni, kilivyounguwa kwa moto na kubakia Nyumba kuwa magofu.Sheikh Khalfan Suleiman, akikabidhi bati kwa waathirika wa Janga hilo huko katika Shehia ya Shumba...
View Article