Kijiji cha Maziwa ya Ng'ombe, Wilaya ya Micheweni Pemba
Kijiji cha Maziwa Ng'ombe, Wilaya ya Micheweni Pemba, kilivyo na majumba yake ambayo yameezekwa kwa makuti na kuwa karibu sana kupelekea kuwa ni hatari moto unapowaka .Picha na Bakar Mussa-Pemba
View ArticleWizara ya Fedha kutoa taaluma kwa wananchi ili kuepusha migogoro ya ardhi
Na Miza Kona- Maelezo Wizara ya Fedha imesema inaendelea kutoa taaluma ya uwekezaji kwa wananchi na kuhakikisha kuwa migogoro ya ardhi kati ya wawekezaji na wananchi inaondoka...
View ArticleDk Shein amkaribisha Waziri Mkuu wa Finland Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku mojaRais wa...
View ArticleSerikali yaombwa kuingilia kati malipo ya wakulima wa mbegu za mpunga
Na Miza Kona -MaelezoSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuipatia fedha Wizara ya Kilimo na Maliasili kwa ajili ya kulipa deni wanalodaiwa na wakulima wa mbegu za mpunga.Akiwasilisha Ripoti ya...
View ArticleWabunge wateule wa Bunge la katiba wasiende kusinzia Bunge la katiba
Na Muona Mbali Ndugu wabunge la Katiba. Mimi naguswa sana na matamko ya kikatiba. Maana yangu ni kuwa katiba ikeshatamka ndio imetamka na ikikosa kutamka ndio inakuwa tayari haikutamka. Kutamka...
View ArticleProf Makame Mbarawa akabidhi mbolea na madawa kwa wakulima wa mpunga,...
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa , akikabidhi Msaada wa Dawa za Kuulia Magugu kwa Sheha wa Shehia ya Mchangani...
View ArticleMbunge azimiwa kipaza sauti baada ya kuhubiri siasa kanisani
Na Joseph Ngilisho, ArushaALIYEKUWA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye, alijikuta katika wakati mgumu wakati alipozimiwa kipaza sauti kanisani, baada ya waumini...
View ArticlePolisi yatuma wapelelezi kumsaka muuaji Tarime
Na PascalBuyaga, TarimeMKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Arnest Mangu, ametuma timu ya wapelelezi wilayani Tarime, kumsaka na kumkamata mtu anatekeleza mauaji na kisha kutokomea porini.Mtu huyo...
View ArticleWawakilishi waunda Kamati kuchunguza wizi wa nyaraka
Khamis Amani na Madina IssaBARAZA la Wawakilishi limeridhia kuunda Kamati Teule, kuchunguza wizi wa nyaraka muhimu uliofanywa katika Idara ya Nyaraka na Makumbusho.Hatua hiyo imekuja baada ya...
View ArticleWanafunzi Mpendae wachagawa
Na Hafsa GoloWANAFUNZI wa skuli mpya ya sekondari ya Mpendae wamelazimika kukatisha baadhi ya vipindi vya masomo, baada ya zaidi ya wanafunzi 10 kuchagawa jana.Tukio hilo lilitokea majira ya saa 4:00...
View ArticleMajaji tunzo ya EJAT waapishwa
Na Fatuma Kitima, DSMRAIS wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Robert Kisanga, amewapisha majaji wa tunzo ya uandishi mahari wa habari (EJAT) 2013 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuanza kupitia...
View ArticleRaia wa Italia afariki akiogelea
Na Mwanajuma MmangaRAIA wa Italia, Caborn Michael (35), amefariki dunia katika bahari ya Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akiogelea akiwa na chombo baada ya kupigwa na mawimbi.Mwili wa marehemy...
View ArticleDk Shein ziarani India
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 31 Januari, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...
View ArticleZanzibar president to visit Barefoot College on India trip
New Delhi: President Ali Mohamed Shein of Tanzania’s semi-autonomous region Zanzibar visits India Feb 1-9 and one of his important engagements, besides official talks in New Delhi, would be a visit to...
View ArticleWaziri Mkuu wa Finland alipotembelea SUZA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Professa Idriss Ahmada Rai akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipotembelea chuo hicho Kempasi ya Vuga alipokuwa na ziara ya siku...
View ArticleMahafali ya Kwanza ya Zanzibar School of Heath.
Brass band ya Chuo cha Mafunzo Zanzibar ikiongoza Maandamano maalum ya sherehe za Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Afya Zanzibar wakiingia katika viwanja vya sherehe. Wahitimu wakiingia katika Viwanja...
View ArticleMkutano wa Chama cha ADC Kufunga Kazi katika viwanja vya Chukwani.
Mwenyekiti wa Chama cha ADC Mhe. Said Miraj. akihutubia katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya mpira Chukwani, akimtangaza Mgombea wake na kutowa Sera za Chama chake endapo itafanikiwa kikitowa...
View Article