Wajumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Afrika Wamaliza Mafunzo kwa Ziara ya...
Washiriki wa  Mafunzo ya Wajumbe wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika (AU) wakiwa ziarani katika hifadhi ya eneo la Ngorongoro.Mafunzo ya siku nne ya Wajumbe wa Baraza la Amani na...
View ArticleBiashara ya Kaboni Yayawapaisha Watanzania - Mhe. Chana
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na wadau mbalimbali wa uhifadhi wa mazingira katika hafla iliyoandaliwa na Shirika la Uhifadhi wa mazingira la ‘The Nature...
View ArticleTanzania Yashiriki Mkutano wa Mattei Italy
Tanzania yashiriki Mkutano wa Mpango wa Mattei wa Afrika, Italia: Reli kuziunganisha Bahari za Atlantiki na HindiMpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Italia na Afrika (The Mattei Plan for Africa and...
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali...
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu  Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar, wakifuatilia hatuba ya Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika leo 31-3-2025, baada ya...
View ArticleWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua na...
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya kuwasha Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani, Machi 30, 2025.Â
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar, waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kutowa...
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea heshima ya Gwaride Maalumu la Kikkosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al Fitry...
View ArticleRC Dkt.Batilda Awataka Wananchi Kuendelea Kutenda Matendo Mema
 Na Oscar Assenga, TANGA                                  MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian leo ameungana na Waislamu mkoani Tanga kushiriki katika ibadaa ya...
View ArticleWAZIRI MKUU ASHIRIKI SWALA YA EID WILAYANI RUANGWA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ruangwa,  Ibrahim Ndoro (kulia) na Mkuu wa ilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma baada ya kushiriki swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya...
View ArticleWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na nchi...
View ArticleWasira Amjibu Zitto Kabwe Kuhusu vya CHADEMA
 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kiwa amenyanyua Usinga Juu baada ya kupewa Usinga na Uchifu na kupewa jina la Chifu gilunguja mizengoMakamu Mwenyekiti wa...
View ArticleHotuba ya Rais wa ZXanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj...
  Bismillahi Rahmani Rahim! Mheshimiwa Othman Masoud Othman; Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Sheikh Saleh Omar...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUKOPA MIKOPO INAYOTOLEWA NA SERIKALI NA TAASISI RASMI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Bw. Binuru Shekidele, akikabidhiwa vipeperushi na Afisa Usimamizi wa Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya...
View ArticleDua ya Kuwaombea na Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Yafanyika Zanzibar
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Sheikh Juma Makungu Juma (katikati)akiwa pamoja na Viongozi wengine wakiomba Dua katika Kaburi la Meja Jenerali Mstaafu Marehemu Abdalla Said Natepe...
View ArticleDKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SACE NCHINI ITALI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE), Bi. Alessandra Ricci, Mjini Rome, ambapo ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya...
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Arafa Mohammed Said, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa  ya Mkoa wa Mjini...
View ArticleMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja...
View ArticleTanzania na Czech Wajadili Kusaini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili
Mkuu wa Idara ya Uchumi na Biashara, Ubalozi wa Czech, Bi. Marta Anna Ledgard akizungumza katika kikao kati ya Tanzania na nchi hiyo kilichoongozwa na Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack...
View ArticleDua ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar Yaendelea Kumuombea Marehemu...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Juma Makungu Juma (katikati)akiwa pamoja na Viongozi na Wananchi mbalimbali wakiomba Dua katika kaburi la Marehemu Maalim,Hamid Ameir Ali .Ikiwa ni katika...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KIKAO KAZI CHA 20 CHA MAAFISA...
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiwa katika ukumbi wa New Amaan Complex Zanzibar wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Viongozi mbali mbali, Maafisa Habari, Mawasiliano,...
View ArticleSERIKALI YATAKA UWAZI NA HAKI KATIKA MIKATABA YA FEDHA
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi kutoka Kata ya Sumve, Malya na Hungumalwa Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, wakiwa pamoja na Timu ya Wataalamu wa Elimu ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi...
View ArticleMhe Hamza Aongoza Dua ya Kumuombea Marehemu Pili Khamis Mpera
Na Ali Issa Maelezo 3/4/2025.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wakilishi Hamza Hassan Juma amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwafanyia wema...
View ArticleWaziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Mpango wa Pili wa Maandalizi ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka kiganja kwenye kishikwambi kuzindua Mpango wa Pili wa Maandalizi ya Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI Â II) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini...
View ArticleKAMATI YA PAC YARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA ARDHI
Meneja wa Mradi upande wa Mshauri Elekezi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mbunifu Majengo Weja Ngolo akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
View ArticleWAZIRI KOMBO AWASILISHA TAARIFA YA WIZARA KATIKA KAMATI YA NUU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.),...
View Article