Maalim Seif afutari pamoja na Masheikh nyumbani kwake
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika futari ya pamoja na Masheikh mbali mbali wa Zanzibar nyumbani kwake Mbweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....
View ArticleRais wa Zanzibar Dkt Shein, Ajumuika na Wananchi katika Futari Ilioandaliwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya bwawani kuhudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ kushoto...
View ArticleHilton Worldwide opens DoubleTree by Hilton Zanzibar
Hilton Worldwide and DoubleTree by Hilton have announced the opening of DoubleTree by Hilton Zanzibar - Stone Town, located 64 kilometers (40 miles) off the coast of mainland Tanzania. Nestled in the...
View ArticleMatukio ya hapa na Pale kisiwani Pemba
Harakati za kutafuta mahitaji muhumu katika mji wa Chakechake Pemba kutokana na Wananchi kuwa katika harakati hizo baadhi ya mitaa inayotumika kwa mizunguko ya magari ilibidi kuchukua alama za...
View ArticleBei za Nguo Zanzibar Juu.
Na Mwandishin Wetu. WANANCHI mbali mbali wameeleza kusikitishwa kwao juu ya suala la upandaji wa bei za bidhaa zikiwemo nguo,kwa ajili ya matayarisho ya sikukuu.Walisema bei za bidhaa aina hiyo katika...
View ArticleWenye ulemavu waomba wakalimani
Mwanrafia Kombo na Amina Masoud, MCCJUMUIYA ya Watu Wenye Ulemavu Zanzibar (UWZ) umeiomba serikali kufanya jitihada za makusudi za kuwasomesha wakalimani kwa ajili ya kuwasaidia wanachama wao.Hayo...
View ArticleWanaodaiwa na ZSTC wahimizwa kulipa
Na Masanja Mabula,PembaWAKULIMA wa karafuu waliokopeshwa fedha na Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) katika wilaya ya Wete huenda wasipate mikopo ya fedha kwa msimu huu iwapo watashindwa kurejesha...
View ArticleFUPECO walia na uharibifu mazingira
Na Kauthar AbdallaJUMUIYA ya Kuhifadhi Mazingira Ras Fumba (FUPECO),imeeleza kusikitishwa na tatizo la uharibifu wa mazingira unaofanywa katika eneo hilo.Akizungumza na gazeti hili, Mwenyekiti wa...
View ArticleMaalim Seif awafariji wagonjwa Mkoa wa M/Magharibi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Bi. Raisa Abdallah baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika...
View ArticleMallim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa SOS
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya SOS Zanzibar Mohd Bhaloo, wakati akiwasili Zanzibar Beach Resort kufungua mkutano wa kimataifa...
View ArticleFirst Vice President Speech at SOS Workshop
THE SPEECH BY H.E. MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, THE FIRST VICE PRESIDENT OF ZANZIBAR, AT THE OPENING OF SOS WORKSHOP AT ZANZIBAR BEACH RESORT, MONDAY 13TH JULY, 2014. Honourable Representatives of...
View ArticleMaalim Seif afutarisha watendaji wake
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. (Picha...
View ArticleRais Kikwete afutarisha wananchi wa Mbeya
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi "Sugu" akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini...
View ArticleNungwi wahamazishwa kulinda mazingira
Na Kauthar AbdallaVIONGOZI na watendaji wa serikali wametakiwa kuongeza nguvu katika kuunga mkono kwa vitendo kampeni ya safisha Zanzibarili kuhakikisha inafikia lengo.Wakizungumza katika kampeni hiyo...
View ArticleZaidi ya Shilingi Milioni 300 Zatumika kuangamiza Kunguru
Na Laylat KhalfanZAIDI ya shilingi milioni 300 zimetumika kwa ajili ya mradi wa kuangamiza kunguru weusi kuanzia 2012-2013.Hayo yalielezwa na Msaidizi Mratibu wa huo, Salim Ali Khamis, alipokuwa...
View ArticleKwamtipura wahimizwa kushirikiana
Na Mwanajuma MmangaMWENYEKITI wa CCM jimbo la Kwamtipura, Kombo Said Ally, amasema maendeleo ya jimbo hilo yatafikiwa endapo kutakuwa na mashirikiano baina ya viongozi wao.Alisema yeye yuko tayari...
View Article