Maalim Seif Afanya Ziara kutembelea Sehemu za Mazingira
Na; Khamis Haji (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ameonya kuwa tabia ya baadhi ya watu kuharibu mazingira inasababisha athari kubwa, ikiwemo kupotea eneo kubwa...
View ArticleTaasisi za viwango TBS na ZBS kufanya kazi kwa pamoja
Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne...
View ArticleTahadhari ya hali ya Hewa
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAMTovuti:...
View ArticleMAELEZO YA JAJI JOSEPH WARIOBA - MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA -...
MAELEZO YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KATIKA MKUTANO WA TANZANIA CENTER FOR DEMOCRACY, KUHUSU TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA: WHITESANDS HOTEL,...
View ArticleMSANII NEMO KUPIGA SHOO LADY IN RED 2014
Na Andrew ChaleMKALI wa R&B na Afro Pop, ambaye aliwahi pia kushiriki shindando la BSS, Nemo, anayetamba na wimbo wa ‘My Number One’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz anatarajia kupafomu kwenye...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye...
View ArticleMatayarisho ya Tamasha la Busara Yakamilika na Kurindima Kesho Viwanja vya...
Uongozi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wazungumza na Waandishi wa habari kukamilika kwa Tamasha hilo na kuaza kesho katika viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar kwa uzinduzi wa maandamano ya...
View ArticleMakamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Azungumza na Balozi wa Israel Nchini...
Balozi Seif akisalimiana na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Bwana Gil Haskel wakijiandaa na mazungumzo ya kuimarisha uhusiano kati ya Israel na Zanzibar.Balozi wa Israel Nchini Tanzania Bwana Gil...
View ArticleBarabara ya Kisiwandui yafanyiwa Ukarabati Mkubwa kuirudisha yadhi yake ya...
Moja ya barabara ya historia katika mitaa ya ngombuz ni hii ya kisiwandui ambayo ni barabara ya asili ya enzi hizo, barabara hii ilikuwa ikitumika kama barabara kuu katika mitaa ya Unguja inaanzia eneo...
View ArticleKIKAO CHA WABUNGE NA WAWAIKILISHI WA CCM DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali...
View ArticleMnada wa Samaki Malindi Zenj.
Wachuuzi wa samaki katika bandari ya malindi Zanzibar wakiwa katika mnada wa soko hilo wakinunua samaki kutoka kwa wavuvi wanaowasili katika bandari hiyo ya asili katika visiwa vya Unguja. Katika...
View ArticleTBL Yamwaga Vifaa Michuano ya Kutafuta Vipaji Kuunda Timu ya Taifa ya Tanzania
Vifaa kwa ajili ya Timu za Mikoa ya Unguja Mitatu Mkoa wa Kusini , Kaskazini na Mjini Magharibi,utaunda timu za Mikoa kuchuana na Mikoa ya Tanzania Tabar kutafuta Vipaji vya Wachezaji watakaounda timu...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE ZIARANI NCHINI UFARANSA
Kiongozi wa ujumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje, Hamadi Yussuf Masauni (wa pili kulia) akiwa na balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Begum Taj (wa tatu kushoto) na wajumbe wengine wa...
View ArticleSkuli ya Sekondari ya Kusini iliopo Makunduchi yapokea msaada wa Microscopes
Skuli ya Sekondari ya Kusini iliyopo Makunduchi imepokea msaada wa microscopes 8 zenye thamani ya shillingi millioni nne kutoka Skuli ya Celsius High School iliyopo Uppsala Sweden. Msaada huo...
View ArticleKikao cha Bunge Maalum la Katiba Kuanza Leo Mchana kwa Uchaguzi wa Mwenyekiti...
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na Katibu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah amesema Kikao cha Bunge hilo litaanza kwa hatua ya kumchagua Mwenyekiti wa Muda wa Kikao...
View ArticleKificho achukua Fomu kuwania uenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba
Wakati Bunge la Katiba linaanza rasmi leo mjini Dodoma, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Ameir Pandu Kificho, amechukua fomu kuwania uenyekiti wa muda wa Bunge hilo. Kificho alichukua fomu hizo jana...
View ArticleUharibifu wa Mazingira Hayooo....
Huu ni Uharibifu wa mazingira katika makazi ya Wananchi, Kama inavyoonekana pichani kuna baadhi ya Wafanyabiashara wameutelekeza Unga wa Uanga ambao umeharibika na kutokufaa kwa matumizi ya Binaadamu,...
View ArticleMwanamke anyongwa, abakwa · Mahabusu ajinyonga chooni
Na Rose Chapewa, MBEYAMWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Upendo mkoani Mbeya Maria Mwamangu (56) ameuawa kwa kunyongwa na kisha mwili wake kutelekezwa chumbani mwake.Kabla ya kunyongwa, mwanamke huyo...
View Article