CCM yasisitiza Muungano serikali mbili
CHAMA cha Mapinduzi, kimesema kitaendelea kutetea msimamo wake wa mfumo wa muungano wa serikali mbili, utaofanyiwa marekebisho.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,aliyasema hayo jana wakati...
View ArticleKamati ya maafa yadaiwa kula chakula cha msaada
Na Mariam Kamgisha, MOROGOROKAMATI ya maafa ya kijiji cha Magole wameilalamikia kamati ya maafa ya wilaya ya Kilosa kwa kushindwa kuwafikishia misaada wanayopewa waathirika wa mafuriko.Wakizungumza na...
View ArticleAtaka Wabunge bunge la katiba wazingatie maoni ya wananchi
Na Kunze Mswanyama, DSMNAIBU Waziri wa zamani wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Dk.James Wanyancha,amewataka wabunge wa bunge maalum la katiba, kuhakikisha wanatetea maslahi ya umma na kuacha kulumbana...
View ArticleAsilimia 70 ya wanaofungwa hawajui sheria
Na kadama Malunde, ShinyangaASILIMIA 70 ya Watanzania wanaohukumiwa vifungo magerezani, wanafungwa kwa sababu ya kutojua sheria na kutopata msaada wa kisheria.Hali hiyo imebainishwa mwishoni mwa wiki...
View Article13 wazama baharini ·Watatu wahofiwa kufa
Na Khamis AmaniWATU watatu hawajulikani walipo na wengine 10 wamenusurika kufa, kufuatia chombo walichokuwa wakisafiria kupigwa dhoruba na kuzama baharini katika maeneo ya Bumbwini wilaya ya Kaskazini...
View ArticlePolisi wapongezwa kupunguza uhalifu
Na Kija Elias, Moshi.SERIKALI imelipongeza jeshi la polisi kwa kupunguza uhalifu wa kimataifa kufikia asilimia 1.1 tofauti na ilivyokuwa mwaka 2012.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, Akutana na Kaimu Kamishna wa TRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...
View ArticleZantel yazindua Kampeni mpya ya kuhamasisha usajili wa laini za simu
Dar es Salaam, Tanzania, 18-02-2014: Kampuni ya simu za mikononi ya Zantel leo imezindua zoezi la kuhamasisha wateja kusajili laini zao za Zantel kwa mujibu wa sheria ya serikali inayozitaka kampuni za...
View ArticleZantel launches new awareness Program of Sim Registration
Dar es Salaam, Tanzania, 18-02-2014: Zantel Tanzaniahas launched awareness program about the importance of sim subscriber’s registration exercise beginning early this week to comply with the Law that...
View ArticleKutoka Bungeni Dodoma Wagombea wa Nafasi ya Muda ya Mwenyekiti wa Bunge...
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Yahya Hamad Khamis, akitowa maelezo ya kumpata Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba ili kuwezesha kupata Kanuni za kuendesha Bunge hilo wakati wa...
View ArticleZoezi la Upigaji Kura Laendelea.katika Ukumbi wa Bunge la Katiba Dodoma.
Zoezi la Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania wakiendelea nazoezi hilo la upigaji wa kura kumchagua Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo huko katika ukumbi wa bunge Dodoma jioni hii.Katika zoezi hilo...
View ArticleKijana Oscar John Atafuta Jiko. Ona picha yake na sifa za mchumba huyo...
Master Oscar JohnMimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo...
View ArticleASIA IDAROUS AWASHUKURU WADAU. ..Kwa kusapoti miaka 10 ya ‘Lady in red’. .....
Asia Idarous akipita kwenye red Carpet .wakati wa onyesho hilo. Mbunge wa Bunge la Katiba, Mh. Maria Sarungi akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television Mmiliki wa Michuzi Media Group,...
View ArticleSpika wa Baraza la Wawakilishi Aibuka Mshindi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge...
Mshindi wa Kura za kumtafuta Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Maalum la Katiba Tanzania Mhe. Pandu Ameir Kificho, akiongoza Mkutano wa Maandalizi ya kuandaa Kanuni za Bunge hilo. Baada ya kutangazwa...
View ArticleWaziri Mbarawa azindua mradi wa njia ya mawasiliano ( Microwave Link)...
WAZIRI wa sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Pfo, Makame Mnyaa Mbarawa akikata utepe kuashiria kufungua mradi wa njia ya mawasiliano (Microwave link) kwenye mtambo wa TTCL...
View ArticleUN VACANCY - ELECTION-RELATED CONFLICT PREVENTION SPECIALIST ( NATIONAL OR...
ELECTION-RELATED CONFLICT PREVENTION SPECIALIST ( NATIONAL OR INTERNATIONAL)Location :Dar es Salaam, with Frequent travel to Zanzibar, TANZANIAApplication Deadline :24-Feb-14Additional...
View ArticleUN VACANCY - CONSULTANT - MAPPING AND NEEDS ASSESSMENT TO DEVELOP A NATIONAL...
CONSULTANT - MAPPING AND NEEDS ASSESSMENT TO DEVELOP A NATIONAL INFRASTRUCTURE FOR PEACE - (OPEN TO TANZANIAN NATIONALS ONLY)Location :Dar es Salaam, TANZANIAApplication Deadline :04-Mar-14Additional...
View ArticleTahadhari ya mvua kubwa
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056 Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM...
View ArticleHatutaki usingizi huu Bunge la Katiba
Na Salim Said Salim RAIS Jakaya Kikwete ametangaza majina 201 ya wajumbe kutoka makundi mbalimbali nchini walioomba kuteuliwa ili waungane na wabunge wa Bunge la Jamhuri na Baraza la Wawakilishi...
View ArticleBREAKING NEWSS:::Lori la Mafuta Lapinduka katika Mlima Sekenke na kuwaka Moto...
Baadhi ya Wananchi waliofika katika ajali hiyo wakiangalia mabaki ya Lori hilo baada ya kupata ajali na kuwaka moto leojioni likiwa katika safari zake za kusafirisha Mafyta nje ya Dar-es-Salaam,...
View Article