Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Dk Shein akutana na mabalozi wa Zambia, Oman

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                                   25 Februari, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...

View Article


Waraka halali wa Muungano utumike Bunge la Katiba

Na Salim Said Salim WASWAHILI wana msemo maarufu unaoeleza kuwa mambo kangaja huenda yakaja. Sasa wakati waheshimiwa wetu wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya baadhi yao kutaka waongezwe posho ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza kuzinduliwa Machi 1

Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni wa Leo na Ujumbe Wake Huoooooooo...........

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi wa Madrasatul Hiyaulu Muddin Wakifanya Mtihani.

Wanafunzi wa Madrasatul Hiyaulu Muddin ya Rahaleo wakifanyamtihani wao kujipima uwezo wao katika mafunzo ya Dini ya Kiislam, wakifanya mtihani huo katika Masjid Sunna Rahaleo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uegeshaji Mbaya Magari

Kuna baadhi ya madereva wa magari hukiukasheria za barabara na kupuuza sehemu waliotengewa watembea kwa miguu kupita na kugeuzasehemu ya kuegeshea magari katika sehemu hizo, kama linavyoonekana gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt. KMKM na Mafunzo. mchezo huo umetoka sare ya 1-1

 Kocha wa timu wa Mafunzo Kachumbari akitowa maelezo kwa wachezaji wa timu yake wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1--1 Mchezaji wa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini LeoTz Bongo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANLINK Yamwaga Vifaa vya Michezo kwa Timu ya Shangani FC Zenj.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Mtandao ya ZANLINK Zanzibar Nasib Amour, akimkabidhi seti mbili za Jezi Makamo Mwenyekiti wa timu ya Shangani FC, Halfan Ali Halfan, makabidhiano hayo yamefanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA yafanya Semina kuhusu ukusanyaji wa kodi ya Zuwio Pemba

 AFISA forodha kutoka TRA Pemba, Abdalla Hassan akifungua semina kwa wahasibu na washika fedha kutoka taasisi mbali mbali za serikali kisiwani Pemba, juu ya ukusanyaji wa kodi ya zuwio. AFISA elimu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi daraja la Kwanza kanda ya Pemba : Shaba yaitandika Mwenge 2-1

  MSHAMBULIAJI wa timu ya Mwenge Elam Sango, akiruka juu kukimbia daluga la mchezaji wa timu ya Shaba, Yunus Hilali kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza taifa Pemba, uliochezwa uwanja wa Gombani,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gombani ilivyohemewa

KUTOKANA na Chama cha soka ZFA taifa Pemba, kuchelewa kufungua milango miwili, hasa kwenye michezo yenye watazamaji wengi, husababisha vurumai na fujo kwenye mlango mmoja, ambapo hali hiyo ilijitokeza...

View Article

Kaskazini Pemba yakubali kipigo chengine cha 4-2

Na Zainab Atupae, PEMBATIMU ya ‘Combine’ ya mkoa wa kaskazini Pemba, imeendelea kuwa ugea kwa timu kama hiyo ya mkoa wa kusini Pemba, baada ya jana tena kukubali kichapo cha magoli 4-2, kwenye mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walemavu Pemba wajiendeleza na miradi, wapatiwa Semina

 WANAKIKUNDI cha upakasaji mikoba, makawa, vipochi vya ukili na upandaji miti kilichopo kijiji cha Changaweni wilaya ya Mkoani Pemba, ambao wengi wao ni walemavu, wakiwa kazini katika kazi yao hiyo...

View Article

Auawa akiamua ugomvi wa familia

Na Kauthar AbdallaMTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa rungu la kichwa kutokana na ugomvi wa familia.Marehemu alipigwa rungu wakati alipokwenda kumpeleka rafiki yake nyumbani kwa dada yake...

View Article


Madiwani CHADEMA wajiuzulu

Na Kadama Malunde, Shinyanga.BUNDI anaendelea kulia ndani ya chama cha CHADEMA baada ya Madiwani wawili wa chama hicho katika manispaa ya Shinyanga kutangaza kujiuzulu kwa madai kuwa uongozi ngazi ya...

View Article

Mwanamke anaswa na mihadarati

Na Masanja Mabula, PEMBAJESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, limashikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiyaka Ayoub  (30) mkaazi wa Pande Tanga na Chake Chake kwa tuhuma za...

View Article


Wanahabari 101 kuchuana tunzo ya EJAT

Na Fatuma Kitima, DAR ES SALAAMWAANDISHI wa habari 101 wameteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) 2013 ambapo kilele chake kinatarajiwa...

View Article

Polisi: Mabomu hayahusiani na dini ·Yalitengenezwa kienyeji ·Mmoja ya...

Na Mwandishi wetuKAMISHNA wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame, amesema mabomu yaliyoripuka katika makanisa ya Mkunazini na Kijitoupele na katika mkahawa wa Mercury Forodhani, hayahusiani na masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Adha ya Huduma Muhimu inapokuwa Pungufu.

Wananchi wakiwa katika foleni katika Ofisi ya Makao Makuu ya Shirika la Umeme Zanzibar wakifuata huduma ya Umeme wa Tukuza kutokana na vituo vyao kukosa huduma hiyo kutokana na ukosefu kwa mtandao na...

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>