Dk Shein ahimiza viongozi wa CCM kukutana na viongozi wa Serikali kuzungumzia...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 21 Novemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMakamu Mwenyekiti wa...
View ArticleMalinzi aahidi kuipatia Zanzibar uanachama Fifa
Na Salum Vuai, Zanzibar WIKI tatu tangu Jamal Malinzi achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana aliwasili Zanzibar na kufanya mazungunmzo na uongozi wa Chama cha Soka (ZFA), na...
View ArticleMatengenezo Uwanja wa Amaan kumalizika katika muda uliopangwa
Na Mwajuma JumaSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuwa itafanya kila liwezekano ili kuhakikisha uwanja wa Amaan unakamilika kama ulivyopangwa.Kauli hiyo ameitowa Makamu wa Pili wa Rais wa...
View ArticleChama cha Karate chatakiwa kuusambaza mchezo huo hadi vijijini
Na Mwajuma JumaCHAMA Cha Karate aina ya Gojuruu Zanzibar (ZAGOKA), kimetakiwa kuendelea na juhudi zake za kuusambaza mchezo huo mijini na vijijini.Wito huo umetolewa na Waziri asiekuwa na Wizara...
View ArticleDk Shein atimiza ahadi yake kwa vijana wa Soba House, Pemba
MKUU wa Wilaya ya Wete, Omar Khamis Othman akizungumza na vijana wanaoishi katika soba house ya limbani Wete, kabla ya kukabidhiwa vifaa alivyoahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la...
View ArticleBalozi Seif akagua matengenezo Uwanja wa Amaan
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ekika inayoshughulikia matengenezo wa uwekaji wa nyasi bandia katika uwanja wa amani Bwana Ben Mush akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif juhudi...
View ArticleNafasi za kazi UNDP Zanzibar
Neema za kazi za UNDP tarehe ya mwisho kupeleka maombi ni 29/11/2013. Bado muda unao changamkaIngia kwenye link hii hapa chinihttp://jobs.undp.org/cj_view_jobs.cfm?cur_rgn_id_c=RAFShukran mdau kwa...
View ArticleKilio cha wakaazi wa meli nne
Rais mstaafu Dkt. Salmin Amour aliwahi kutoa changamoto kwa mafundi wa kuchonga wa vikozi vya SMZ kwa kuwataka waende Ikulu ndogo ya Kibweni kuangalia fanicha zilizokuwemo ili wazichonge tena. Fanicha...
View ArticleZiwa la Mwanakwerekwe : Hatuwezi kulibadilisha kuwa kama bustani hii?
Ziwa la Mwanakwerekwe kwa wawekezaji na wahandisi linaweza kuwa sehemu moja nzuri ya kupumzika kama bustani hii.Wazanzibari tukiamua tunaweza kuligeuza ziwa la Mwanakwerekwe na kuwa kama bustani...
View ArticleDk Shein alipotembelea mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na watoto wa Kijiji cha Chonga,wakati alipofika kijijini hapo kufungua kituo kipya cha Ununuzi wa Karafuu cha...
View ArticleDk Shein aagiza utoro maskulini ukomeshwe
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 22 Novemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleBalozi Seif akagua miradi ya Serikali
Mshauri wa mambo ya Ufundi wa Mamlaka ya Uwanja wa Ndege Nd. Fredrick Nkya akimuonyesha ramani ya ujenzi wa uwanja wandege wa Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...
View ArticleDk Shein : Wahudumieni wananchi bila ya ubaguzi
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 24 Novemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIViongozi na...
View ArticleTamko la Zitto Kabwe
TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA1. Utangulizii.Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 22 Novemba 2013, Kamati...
View ArticleUVCCM kutumia Milioni 800/- ujenzi wa jengo jipya la Ofisi kuu ya UVCCM
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Mh. Sadifa Juma Khamis akitoa Taarifa fupi kwenye Mkutano wa kutambulishana baadhi ya wajumbe wa Kamati ndogo ya kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Jengo...
View ArticleWilaya ya Kaskazini B watakiwa kutumia fursa za ajira kiwanda cha sukari Mahonda
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu kwenye mkutano wa hadhara wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika kwenye kiwanja cha michezo cha...
View ArticleWito : Tengenezeni mazingira ambayo yatawafanya wazazi kuwaruhusu watoto wa...
Na Mwajuma JumaWANAVIKUNDI wa Mazoezi wametakiwa kuandaa mazingira ambayo yatawawezesha wazazi kuwaruhusu watoto wao wa kike kushiriki katika michezo kwa kufuata mila na tamaduni zao.Akizungumza na...
View ArticleKCB yailaza PBZ 3-2
Na Mwajuma Juma\TIMU ya Soka ya Benki ya Biashara ya Kenya (KCB Tanzania LTD) imewatambia wenyeji wao wa Benki ya Watu wa Zanzibar kwa kuwafunga mabao 3-2 katika mchezo wa Kirafiki uliochezwa juzi...
View ArticleZanzibar Heroes yaagwa leo
Na Mwajuma JumaTIMU ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ imeagwa jana na kukabidhiwa bendra ya Zanzibar na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Bihindi Hamad Khamis kwa ajili ya...
View ArticleDk Shein azungumza na Baraza la wazee wa CCM Pemba
Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,wakiwa katika mkutano na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo...
View Article