Wabarbaig Wajeruhi kwa Mishare ya Sumu.
Na Joseph Ngilisho, BabatiWATU wawili wamelazwa hospitali ya wilaya Babati mkoani Manyara,baada ya kupigwa mishare ya sumu na kundi la wafugaji wa kabila la Wabarbaig waishio porini katika kijiji cha...
View ArticleMgogoro DRC,M23 Kukomeshwa Ndani ya Siku 17.
Na Kunze Mswanyama,DSMMKUTANO wa dharura wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGL) ulioitishwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda,umemalizika ambapo wameazimia kuhakikisha mgogoro wa Jamhuri ya...
View ArticleJWTZ Lavionya Vyombo vya Habari Vinavyopotosha kuhusu DRC.
Na Mwandishi wetu, DSMJESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limevionya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vinavyopotosha ukweli kuhusu jukumu lililopewa na jamii ya kimataifa kusimamia amani...
View ArticleDawa Bohari ya Zanzibar Zaibiwa Zauzwa Dar.
Na Khamis AmaniDAWA za aina mbali mbali za kutibu maradhi ya malaria zimeibiwa na kuisababishia serikali hasara ya mamilioni ya shilingi.Dawa hizo zimeibiwa katika bohari kuu ya dawa ya Mnazimmoja na...
View ArticleMsongamano wa Wafanyabiashara na Gari za Daladala Darajani.
Msongamoano wa magari ya abiria katika kituo kikuu cha darajani imekuwa kero kwa watumiaji wa kituo hicho kutokana na wafanyabiashara kukivamia kituo hicho na kufanya biashara bila ya kujali eneo hilo...
View ArticlePBZ Islamic Bank yafunguliwa Jengo la Bima Maisara.
PBZ Islamic Bank Makao Makuu, yamefunguliwa katika jengo jipya la Bima Mpirani maisara, PBZ Islamic Banki imeaza leo kutowa huduma zake kwa wateja wake katika Mji wa Zanzibar, kwa kutowa huduma za...
View ArticleLigi Kuu ya Grand Malt Zanzibar Polisi na Chuoni Imeshinda bao 1--0
Kikosi cha timu ya Chuoni kinachoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt.kilichoifunga timu ya Polisi kwa Bao 1-0 , katika uwanja wa Mao leo.
View ArticleSekta ya Utalii Inakabiliwa na Changamoto Nyingi -- Waziri.
Na Asya HassanWIZARA ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, imesema sekta ya utalii bado inakabiliwa na changamoto kubwa ambayo inapelekea kukwamisha juhudi zinazofanywa na serikali katika...
View ArticleJK.Sio Kazi ya Serekali Kulipia Madeni ya Vyama vya Ushirika.
Na Mwandishi wetuRAIS Jakaya Kikwete amesema siyo kazi ya serikali kuviokoa vyama vya ushirika kutoka kwenye madeni kwa sababu shughuli za ushirika ni za sekta binafsi na mali ya wanachama...
View ArticleBenki ya Dunia YaazaKuusuka Mji wa Zanzibar.
Na Khamis AmaniBENKI ya Dunia (WB), inatarajia kuanzisha mradi mkubwa wa uboreshaji wa mji wa Zanzibar, ili uweze kuwa na haiba nzuri na kivutio kwa wakazi wa ndani na nje.Mradi huo ujulikanao kwa...
View ArticleOman Zanzibar Kushirikiana Sekta ya Habari.
Na Mwandishi wetuSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Ufalme wa Oman, zimeahidi kushirikiana katika sekta ya habari wa faida ya wananchi wan chi mbili hizo.Ahadi hiyo imetolewa na Mawaziri...
View ArticleBalozi Seif azindua chuo cha ushoni na ujasiri amali Kibweni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Chuo cha Ushoni cha wajasiri amali wa Kibweni kilichoanzishwa na Jumuiya ya Vijana wa Kibweni {...
View ArticleDk Shein Cup : Kitamli ya Nungwi yailaza Mwendo mdundo ya Kidoti 1-0
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi zawadi Kipa Bora wa mashindano ya ujirani mwema ya Dr. Sheni Cup yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Jimbo la Nungwi. Balozi Seif...
View ArticleSMZ: Hakuna tatizo Azzan kutibiwa nje
Na Mwiny Sadallah Waziri wa Afya wa Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema hakuna tatizo kwa kiongozi mwandamizi wa Uamsho, Sheikh Azzan Khalid Hamdan, kutibiwa nje ya nchi kama jopo la madaktari...
View ArticleLigi Kuu yaGrand Malt Malindi na Mafunzo sare ya 1--1
Kikosi cha timu ya Mafunzo kilichoilazimisha sare timu ya Malindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar iliofanyika uwanja wa Mao leo jioni.Mchezaji wa timu ya Mafunzo,Ali Juma,akijaribu...
View ArticleKongamano la Kumbukumbu ya Miaka Miwili ya Kuzama kwa Mv Spice Zanzibar.
Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua Kongamano la Kumbukumbu ya miaka miwili ya kuzama kwa meli ya Mv Spice na mwaka mmpja wa kuzama kwa Mv Skaget Zanzibar, Kongamano hilo lililoandaliwa...
View ArticleFuse ODG Afunika Onesho lake Dar.
Fuse ODG akifundishwa kucheza kiduku na shabiki Mashabiki waliojitokeza wakishangilia...
View ArticleMakamu wa Rais afungua maonesho ya nyaraka za kitaifa na kumbukumbu za Oman
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika.katika ukumbi wa...
View Article