Kituo cha kupandishia Ngombe kufufuliwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar ya kukifufua upya kituo cha upandishiaji Ng’ombe kiliopo eneo la...
View ArticleVyombo huru vya habari husaidia kuinua maendeleo ya kiuchumi na kijamii
Na Khamis Mohammed, Beijing KUWEPO kwa vyombo huru vya habari na vyenye kuzingatia maslahi ya umma, kumetajwa kusaidia kuinua maendeleo ya kiuchumi na kijamii yaliopo hivi sasa nchini China.. Hayo...
View ArticleMkutano wa Mashirikiano na Wadau wa Mfuko wa Jamii Zanzibar, ZSSF
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Abdulhakim Haji Hafidhi, akifunguwa mkutano na Wadau wa Mfuko wa ZSSF kuimarisha na wadao hao kujuwa wajibu wa kulipa Mafao ya...
View ArticleTimu ya Baraza la Wawakilishi Mabingwa wa Kombev la Mabenki Zanzibar.
Mgeni Rasmin wa Mchezo wa Fainal ya Kombe la Mabenki Zanzibar Naibu Spika wa Baraza la Mapinduzi Ali Abdalla na Viongozi wa ZFA Wilaya ya Mjini wakifuatilia mchezo wa fainal ya Kombe hilo kati ya Timu...
View ArticleChuo cha Diplomasia Chapongezwa kwa Kupeleka Taaluma Zanzibar.
Na Othman Ame, OMPRUONGOZI wa Chuo cha Diplomasia cha Jijini Dar es salaam umepongezwa kwa hatua zake ulizoanza kuzichukuza katika harakati za kusaidia taaluma ya masuala ya Uhusiano wa Kimataifa...
View ArticleMgeja Ampigia Upatu Lowasa. Amfananisha na Maji ya Mto Ruvu. Asema Hakuna...
Na Kadama Malunde,KahamaMWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja amesema Watanzania wanakumbuka na wataendelea kumkumbuka Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowasa na kwamba sio mtu...
View ArticleKesi za Meli Zilizovua bila ya Ruhusa Tanzania Yaendelea.
Na Mwantanga AmeSERIKALI imesema bado inaendelea kulifanyia kazi suala la kampuni mbili za uvuvi za Taiwan, zilizokamatwa baada ya kudaiwa kuvua uvuvi haramu katika maji ya bahari ya Tanzania.Hatua...
View ArticleJua kali Darajani Watakiwa Kuondoka.
Na Hafsa GoloSERIKALI imewaagiza wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu jua kali waliopo Darajani kuondoka na kurejea Saateni bila mivutano.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za...
View ArticleWatuhumiwa Wengine Wanne Mbaroni kwa Mauaji ya Msuya.
Na Kija Elias, MoshiJESHI la Polisi linawashikiliwa watuhumiwa wengine wanne akiwemo mfanyabiashara wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Joseph Damas maarufu Chusa kuhusiana na mauaji ya...
View ArticleBenki ya Exim Kuipatia Zanzibar Mkopo Ujenzi wa Bandari Mpigaduri Saateni.
Na Hafsa GoloBENKI ya Exim ya China itaipatia Zanzibar mkopo kwa ajili mradi wa ujenzi wa bandari ya Mpiga duri. Waziri wa Fedha, Omar Yussuf Mzee, alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
View ArticlePolisi Yakamata lita 29 zaTindikali Zanzibar. 15 Mbaroni Wakihusishwa na...
Na Mwantanga AmeJESHI la Polisi limekamata watu 15 wakiwemo wengine wanaoshukiwa kuwa wafuasi wa kundi la Al-Shabab, wanaohusishwa na tukio la kumwagia tindikali Father wa Parokia ya Cheju wilaya ya...
View ArticleDouble Tree yagawa taa za umeme wa jua kisiwani Pemba
Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Florenso Kirambata akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya Msingi Maskul Fundo, Jimbo la Gando kisiwani Pemba jinsi ya kutumia taa za nishati Jua...
View ArticleMikakati na mipango ya Miaka 5 ijayo ya Sauti za Busara”
16 Septemba 2013 Busara Promotions ni Taasisi inayoandaa tamasha la muziki la Sauti za Busara, ikishirikiana na bodi ya wadhamini, uongozi, wafanyakazi pamoja na wageni kutoka sekta ya sanaa na...
View ArticleUsanii wa uswahilini babu kubwa!
Nikiona watu wanakata ovyo minazi tumbo huniuma! Mti wa mnazi ni kila kitu uswahilini. Kuanzia vifaa vya kuchezea watoto kama kifeni cha ukuti hadi kamba ya kujengea, vyote hivi mama yao ni mnazi. Leo...
View ArticleSMZ yaruhusu Sheikh Azzan kutibiwa nje
Na Mwinyi Sadallah Wizara ya Afya Zanzibar imeruhusu mshtakiwa wa nne, Kiongozi Mwandamizi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (Jumiki), Sheikh Azzan Khalid Hamdani (56), kupelekwa nje...
View Article